Wagonjwa 17 wa ebola ‘watoweka’
WATU 17 wenye homa ya ebola wametoweka nchini Liberia baada ya kituo kinachohudumia wagonjwa hao kuvamiwa, imethibitisha Serikali ya Liberia.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
AU:Wagonjwa wa Ebola wasibaguliwe
Umoja wa Afrika umetoa wito wa kutaka janga la Ebola likabiliwe kwa njia isiyosababisha upweke au kuwabagua wagonjwa au Mataifa.
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
WHO:70% ya wagonjwa wa Ebola wanakufa.
Shirikisho la Afya Duniani limeonya kuwa asilimia 70% ya wagonjwa wa Ebola wanapoteza maisha yao.
11 years ago
Habarileo13 Aug
Hospitali za wagonjwa wa ebola zatajwa
PAMOJA na kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa mwenye virusi vya homa hatari ya ebola, wala anayehisiwa kuwa na ugonjwa huo nchini, Serikali imeshajiandaa kukabiliana na ugonjwa huo, ambao umeshaua zaidi ya watu 1,000 katika nchi za Afrika Magharibi.
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Wanaowaficha wagonjwa wa Ebola mashakani
Bunge la Sierra Leone limepitisha sheria inayotoa hukumu ya miaka miwili jela kwa mtu atakayemficha mgonjwa wa Ebola.
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Wagonjwa wa Ebola watoroka hospitalini
Serikali ya Sierra Leone imeonya kuwa ni hatia kumpa hifadhi mtu yeyote aliyeambukizwa virusi vya Ebola na ambaye ametoroka hospitalini
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Ebola:Wagonjwa warejeshwa nyumbani
Shirika la MSF linasema limezidiwa na idadi ya wagonjwa wa Ebola kiasi kwamba wanalazimika kuwarudisha wagonjwa nyumbani
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wagonjwa wa Ebola waongezeka Guinea
Kukosekana kwa elimu ya ebola kwa sababisha madhara zaidi nchini Guinea, Afrika magharibi
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Ebola:Msako wa wagonjwa kufanywa S.Leone
Rais Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone amesema kuwa msako unaanza kote nchini humo kuwatambua watu walio na ugonjwa wa ebola
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Mali haina wagonjwa wapya wa Ebola
Waziri wa Afya wa Mali amesema kwa sasa haina maambukizi ya virusi vya Ebola baada ya siku 42 za kutokuwa na wagonjwa wapya .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania