Ebola:Wagonjwa warejeshwa nyumbani
Shirika la MSF linasema limezidiwa na idadi ya wagonjwa wa Ebola kiasi kwamba wanalazimika kuwarudisha wagonjwa nyumbani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO
Awamu ya tatu ya Kundi la Watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, wameendelea kurudishwa nyumbani kutokana na mapigano yanayoendele nchini humo. Watanzania 40 ambao walikimbilia nchini Oman kutokea Yemen, wamefanikiwa kusafirishwa leo chini ya usimamizi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh.Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh akizungumza na Baadhi ya watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, ambao wako safarini hivi sasa kurudishwa nyumbani baada ya...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: KUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
WHO:70% ya wagonjwa wa Ebola wanakufa.
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
AU:Wagonjwa wa Ebola wasibaguliwe
10 years ago
Habarileo20 Aug
Wagonjwa 17 wa ebola ‘watoweka’
WATU 17 wenye homa ya ebola wametoweka nchini Liberia baada ya kituo kinachohudumia wagonjwa hao kuvamiwa, imethibitisha Serikali ya Liberia.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wagonjwa wa Ebola waongezeka Guinea
11 years ago
Habarileo13 Aug
Hospitali za wagonjwa wa ebola zatajwa
PAMOJA na kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa mwenye virusi vya homa hatari ya ebola, wala anayehisiwa kuwa na ugonjwa huo nchini, Serikali imeshajiandaa kukabiliana na ugonjwa huo, ambao umeshaua zaidi ya watu 1,000 katika nchi za Afrika Magharibi.
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Wagonjwa wa Ebola watoroka hospitalini
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Wanaowaficha wagonjwa wa Ebola mashakani