Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagonjwa wa Ebola watoroka hospitalini

Serikali ya Sierra Leone imeonya kuwa ni hatia kumpa hifadhi mtu yeyote aliyeambukizwa virusi vya Ebola na ambaye ametoroka hospitalini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Moto waua wagonjwa 21 hospitalini Korea

Moto Uliozuka Hospitalini umewauwa watu 21 Nchini Korea Kusini. Wagonjwa wapatao 20 pamoja muuguzi mmoja wameuawa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Washauriwa kuwafikisha wagonjwa wa akili hospitalini

WATANZANIA wanaoishi na wagonjwa wenye matatizo ya  akili wametakiwa kuwafikisha hospitali mapema wagonjwa hao kutokana na ugonjwa huo kutibika. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Daktari Bingwa...

 

11 years ago

GPL

WAGONJWA WASUBIRI KUTAMBULIWA NA NDUGU ZAO HOSPITALINI MUHIMBILI

KAMERA yetu jana ilitembelea Taasisi ya Tiba na Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI), wodi za…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona Kenya kutibiwa nyumbani ili kupunguza msongamano hospitalini

Serikali ya Kenya inatenegeneza muongozo wa uangalizi salama wa wagonjwa wa virusi vya corona wakia nyumbani.

 

10 years ago

BBCSwahili

WHO:70% ya wagonjwa wa Ebola wanakufa.

Shirikisho la Afya Duniani limeonya kuwa asilimia 70% ya wagonjwa wa Ebola wanapoteza maisha yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

AU:Wagonjwa wa Ebola wasibaguliwe

Umoja wa Afrika umetoa wito wa kutaka janga la Ebola likabiliwe kwa njia isiyosababisha upweke au kuwabagua wagonjwa au Mataifa.

 

10 years ago

Habarileo

Wagonjwa 17 wa ebola ‘watoweka’

WATU 17 wenye homa ya ebola wametoweka nchini Liberia baada ya kituo kinachohudumia wagonjwa hao kuvamiwa, imethibitisha Serikali ya Liberia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wagonjwa wa Ebola waongezeka Guinea

Kukosekana kwa elimu ya ebola kwa sababisha madhara zaidi nchini Guinea, Afrika magharibi

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Wagonjwa warejeshwa nyumbani

Shirika la MSF linasema limezidiwa na idadi ya wagonjwa wa Ebola kiasi kwamba wanalazimika kuwarudisha wagonjwa nyumbani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani