Washauriwa kuwafikisha wagonjwa wa akili hospitalini
WATANZANIA wanaoishi na wagonjwa wenye matatizo ya akili wametakiwa kuwafikisha hospitali mapema wagonjwa hao kutokana na ugonjwa huo kutibika. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Daktari Bingwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Wagonjwa wa Ebola watoroka hospitalini
11 years ago
BBCSwahili28 May
Moto waua wagonjwa 21 hospitalini Korea
11 years ago
GPLWAGONJWA WASUBIRI KUTAMBULIWA NA NDUGU ZAO HOSPITALINI MUHIMBILI
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Kumbe waongo ni wagonjwa wa akili?
10 years ago
Habarileo07 Aug
Wagonjwa wa akili waonesha bidhaa Nanenane
WAKATI tatizo la ajira likiendelea kuisumbua jamii hasa vijana, wagonjwa wa akili katika hospitali ya Mirembe mjini hapa wengi wao wakiwa vijana wamekuwa wakifanya kazi za mikono wakitengeneza bidhaa mbalimbali zinazouzwa kwenye maonesho.
11 years ago
Habarileo28 Mar
Wataka dawa za wagonjwa wa akili zitolewe bure
SERIKALI imeombwa kuweka dawa zote zinazohitajika kwa wagonjwa wa afya ya akili kwenye mpango maalumu wa kitaifa na kutolewa bure kama ambavyo dawa za VVU na kifua kikuu zinatolewa.
11 years ago
Habarileo07 Jun
Mwakilishi adai Afya wametelekeza wagonjwa wa akili
MWAKILISHI wa jimbo la Muyuni, Jaku Hashim Ayoub (CCM) ametishia kuzuia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya kwa madai kwamba imeshindwa kutekeleza majukumu yake ikiwemo kuwatelekeza wagonjwa wa akili.
5 years ago
MichuziWAGONJWA WENYE MATATIZO YA MOYO WASHAURIWA KUHUDHURIA KLINIKI BILA KUKOSA
Wataalamu wa usingizi na wagonjwa walioko katika chumba cha Uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimlaza mgonjwa kabla ya kuzibuliwa mshipa mkubwa wa damu ya moyo ambao haukuwa unapitisha damu vizuri. Upasuaji huo wa bila kufungua kifua unafanyika kwa kutumia mtambo wa Cathlab (Catheterization Laboratory) ambapo mgonjwa anatobolewa tundu dogo katika mshipa wa damu ulioko kwenye paja.
Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa...
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
Virusi vya corona: Wagonjwa wa corona Kenya kutibiwa nyumbani ili kupunguza msongamano hospitalini