Mwakilishi adai Afya wametelekeza wagonjwa wa akili
MWAKILISHI wa jimbo la Muyuni, Jaku Hashim Ayoub (CCM) ametishia kuzuia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya kwa madai kwamba imeshindwa kutekeleza majukumu yake ikiwemo kuwatelekeza wagonjwa wa akili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Kumbe waongo ni wagonjwa wa akili?
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Washauriwa kuwafikisha wagonjwa wa akili hospitalini
WATANZANIA wanaoishi na wagonjwa wenye matatizo ya akili wametakiwa kuwafikisha hospitali mapema wagonjwa hao kutokana na ugonjwa huo kutibika. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Daktari Bingwa...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Wagonjwa wa akili waonesha bidhaa Nanenane
WAKATI tatizo la ajira likiendelea kuisumbua jamii hasa vijana, wagonjwa wa akili katika hospitali ya Mirembe mjini hapa wengi wao wakiwa vijana wamekuwa wakifanya kazi za mikono wakitengeneza bidhaa mbalimbali zinazouzwa kwenye maonesho.
11 years ago
Habarileo28 Mar
Wataka dawa za wagonjwa wa akili zitolewe bure
SERIKALI imeombwa kuweka dawa zote zinazohitajika kwa wagonjwa wa afya ya akili kwenye mpango maalumu wa kitaifa na kutolewa bure kama ambavyo dawa za VVU na kifua kikuu zinatolewa.
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPIDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA
Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitali hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu). Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukua maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo. Naibu Waziri wa Afya Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo.Naibu Waziri wa Afya Mahmoudu Thabiti Kombo akipata maelezo kwa Dkt. Dhamana Fadhili Ramadhan...
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Sudan K:Vita vyaathiri afya ya akili
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Kuchapa watoto huathiri afya, uwezo wao wa akili
9 years ago
MichuziTAMASHA LA MTANDAO WA WANAWAKE LAWAELIMISHA WANANCHI NAMNA YA KUIMARISHA AFYA YA AKILI
10 years ago
VijimamboMaalim Seif akutana na Balozi wa Kuwait pamoja na mwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) nchini