TAMASHA LA MTANDAO WA WANAWAKE LAWAELIMISHA WANANCHI NAMNA YA KUIMARISHA AFYA YA AKILI
Mwenyekiti wa Basicneed Foundashon Tanzania, Prof. Joseph Mbatia akizungumza juu ya kula vyakula vyenye lishe bora na kunywa maji ya kutosha kufanya mazoezi ya viungo angalau mara tatu kwa wiki, (kujali afya kila siku kujitambua na epuka vitu vinavyoathiri afya yako) ikiwa ni siku ya pili ya muendelezo wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendelea kufanyika ndani ya TGNP jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Basicneed Foundashon Tanzania, Prof.Joseph...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Jinsi ya kuimarisha afya yako ya akili wakati wa marufuku ya kutotoka nje
9 years ago
MichuziMTANDAO WA WANAWAKE WAHITIMISHA TAMASHA LA UZINDUZI WA ILANI YA UCHAGUZI LEO JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Wanahabari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge
Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Itifaki wa Bunge Maalum la Katiba, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili ya waandishi wa habari kuhusu kuimarisha Uandishi wa Habari za shughuli za Bunge iliyofanyika tarehe 6 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa African Dreams Conference mjini Dodoma. Kulia ni Mshauri wa mambo ya Kiufundi toka Shirika la UNDP, Bi. Anna Kochannesyan.
Na Magreth Kinabo, Maelezo.
WAANDISHI wa habari nchini wameaaswa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-V2X2xiauStc/XuuGs6cqP5I/AAAAAAALuf8/5Dz8inb1pGwoPB51aYizMm8G2xIyRo2CgCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01.jpg)
Msajili Wa Hazina Akutana Na Kamishna wa Maadili Kujadili Namna ya Kuimarisha Ushirikiano Baina ya Ofisi Hizo
![](https://1.bp.blogspot.com/-V2X2xiauStc/XuuGs6cqP5I/AAAAAAALuf8/5Dz8inb1pGwoPB51aYizMm8G2xIyRo2CgCLcBGAsYHQ/s640/PIX-01.jpg)
Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akifafanua jambo wakati wa kikao cha pamoja na Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela , kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo. Kikao hicho kilifanyika jana Juni 18, 2020 katika Ofisi za Msajili wa Hazina, Jijini Dar es...
9 years ago
YkileoTAMBUA NAMNA YA KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO
Nategemea kuandikia yaliyo jiri Nchini kwetu hapo baadae ili kuweza kujua namna mwezi huu tulifanikiwa kukuza uelewa kupitia mashirika mbali mbali na taifa kwa ujumla wake. Kitu...
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Sudan K:Vita vyaathiri afya ya akili
11 years ago
Habarileo07 Jun
Mwakilishi adai Afya wametelekeza wagonjwa wa akili
MWAKILISHI wa jimbo la Muyuni, Jaku Hashim Ayoub (CCM) ametishia kuzuia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya kwa madai kwamba imeshindwa kutekeleza majukumu yake ikiwemo kuwatelekeza wagonjwa wa akili.
10 years ago
MichuziWaandishi wa habari wapigwa msasa kuhusu namna bora ya kuimarisha uandishi wa habari za shughuli za Bunge
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Kuchapa watoto huathiri afya, uwezo wao wa akili