Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof Lipumba, Mbatia, Zitto waichana Serikali

Dar es Salaam. Viongozi wa vyama vya siasa vya CUF, NCCR-Mageuzi, NLD na ACT-Wazalendo wameitupia lawama Serikali kwa kushindwa kutekeleza maagizo yanayotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba, Zitto DK Slaa, kuvaana kwenye mdahalo

Umoja wa watendaji wakuu wa kampuni wa CEO RoundTable (CEOrt) umeandaa mdahalo wa kuzungumzia mbio za urais utakaowahusisha viongozi wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba, Dk Willibrod Slaa, Zitto Kabwe na Emmanuel Makaidi, lakini Chadema imesema itakuwa tayari kwa midahalo baada ya mchakato wa ndani kukamilika.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA KINA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD,PROF LIPUMBA NA MBATIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT- Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona. PICHA ZAIDI> BOFYA HAPA

IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli amefanya mazungumzo na...

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa iliyotolewa na Serikali kuhusu ishu ya kukamatwa kwa Prof. Lipumba na wafuasi wake

Katika kikao cha Bunge siku ya jana January 28 Mbunge James Mbatia aliomba mwongozo ndani ya kikao cha Bunge kuhusu ishu iliyojitokeza juzi Dar ambapo Prof. Lipumba na baadhi ya wafuasi walikamatwa na Jeshi la Polisi.Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa majibu ya Serikali kuhusu ishu hiyo; “Mheshimiwa Mbatia jana ametoa malalamiko kuwa katika kadhia hii Polisi wametumia nguvu nyingi kuliko ilivyotakiwa, malalamiko haya ni mazito na Serikali haiwezi kuyafumbia macho, kwa hiyo pamoja na uchunguzi...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema waichana Serikali kuhusu maabara

Wabunge wa Kenya kupitia Chama cha ODM wameeleza kushangazwa kwao kwa kuona Watanzania wanachangia fedha kwa ajili ya kununua madawati, wakati nchini yao ina maliasili nyingi walizosema zingetosha kufanya maendeleo bila wao kuchangishwa.

 

10 years ago

GPL

LIPUMBA, MBATIA NA MWIGULU WAKIFANYA YAO

Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba (kushoto), Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, James Mbatia (katikati) na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba (kulia) wakicheka kwa pamoja jana katika uzinduzi wa Kituo cha Runinga cha Azam kilichopo maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA, NCHEMBA NA MBATIA WAKUTANA KWENYE UZINDUZI WA AZAM TV

Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba (kushoto), Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa, James Mbatia (katikati) na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba (kulia) wakicheka kwa pamoja jana katika uzinduzi wa Kituo cha Runinga cha Azam kilichopo maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam.Wakiteta jambo.
(PICHA GPL NA MTANDAO)

 

11 years ago

Michuzi

Lipumba, Mbatia, Mbowe na Vuai wakichangia mjadala Bungeni jioni hii

Busara za viongozi wa kisiasa katika  semina ya kujadili kanuni zimeokoa jahazi na kikao kuendelea salama leo jioni.   Mwenyekiti wa chama cha CUF na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Prof. Ibrahimu Lipumba akichangia.  Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe.James Mbatia akichangia .  Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Freeman Mbowe akichangia. Naibu katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Tanzania Visiwani  na...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbatia Asema Yake Baada Ya Profesa Lipumba Kung’atuka Uenyekiti CUF


Kufuatia uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kujiuzulu nafasi ya uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), watu mbalimbali wamekuwa na mtazamo tofauti huku wengi wakitaka kujua hatua hiyo imepokelewa vipi na viongozi wa Ukawa.Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia ameelezea jinsi alivyopokea taarifa za hizo akiwa mwenyekiti mwenza wa Ukawa.Akiongea katika mahojiano maalum na waandishi wa habari, Mbatia amesema kuwa uamuzi huo ni wa kawaida kwa kuzingatia mfumo wa vyama vingi nchini na kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani