WAREMBO WALA KICHAPO BAA
![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0Jjbn3g9QV-qg8Ywys3CMQ2URvfZBAnWqxF1sLE0MnqVraI079s14X7D6VccG62MblPeD6D4SqyoZLF4uiGP2iCz6C/FRONTAMANI.jpg?width=650)
Stori: Denis Mtima na Chande Abadallah BALAA! Siku chache tu baada ya kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili ambao majina yao hayakufahamika haraka wamejikuta wakila kichapo kutoka kwa mabaunsa kufuatia kuchelewa kutoka ndani ya baa waliyokuwa wakipombeka. Akilia baada ya kula kichapo. Tukio hilo la aina yake lilijiri Agosti 5, mwaka huu katika baa hiyo mpya iliyopo Sinza ya Afrikasana jijini Dar es Salaam....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aGsIBoQ0cKkNtUQMBueX8rdV*VqPQRaLHzDYs7bPFay0iexWZe7ZRTw49fM9e1drD9T*EtmxsIkPql9IrTJc9xaykMne-qEc/warembo.jpg)
WAREMBO WALA KIBANO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yjgio7pFYXtSSCAq6Btcdqaxjn6Xp62zxi7YeU9HjdAQv7*JwoY268CbqD8htCIEMIBOlu-yHefBtW*kcZItlDe/FRONTJUMAMOSI.jpg?width=650)
...WALA KICHAPO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK7ikDh5h1*2HOAy3qvsBXZ8cldQ7B0dmD5UqCnq7-0-60kzM3o0tWxIqSzasWzMmupQVgl6T8V*EwoDuT*DLiO3/wema.jpg?width=650)
WEMA, AUNT WALA KICHAPO
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Lipumba, wafuasi wake wala kichapo
Na Oliver Oswald, Dar es salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, jana lilazimika kutumia nguvu kubwa kupambana na wafusi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanaandamana katika kile kilichoelezwa kukumbuka mauaji ya wanachama wake yaliyotokea Januari 26 na 27, mwaka 2001 visiwani Zanzibar.
Katika purukushani hizo, askari walimpiga kwa kutumia kitako cha bunduki na kisha kirungu, mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Hamisi Mussa, aliyekuwa anatekeleza majukumu yake ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYg7oNYOFxTgEIspNzu5IIKWMEEECioAvomfnplPxsdVrzpyLlns2AmZKhSa-lmx2CTYE6XZaIrouudkVTRpeG6K/talent.jpg?width=650)
WAREMBO DAR WATOA ZAWADI, WALA NA YATIMA DAR
10 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIm22db*Fvs-cyHuKbdEr-GmP*5-Jm2sY5Yi6nVH6hOL3Viu5cJKs*V-D4V8T15bNKPBWBjW6f5GV4l0mjUkoolF/BAA.jpg)
BAA YAGEUZWA KANISA DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crMzB1BOgIqFzx2M-1rtcbVACtEw0H8BQIrOpKhzP-V4J9sO6vHGqBeWlymoybgmVkC3ghKQOa*xU0sMAqZ6GXj/baamed.jpg?width=650)
BAAMEDI AUZA BAA NA MTOTO