BAA YAGEUZWA KANISA DAR
![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIm22db*Fvs-cyHuKbdEr-GmP*5-Jm2sY5Yi6nVH6hOL3Viu5cJKs*V-D4V8T15bNKPBWBjW6f5GV4l0mjUkoolF/BAA.jpg)
Stori: Denis Mtima WAKATI matukio mengi ya kushangaza na kushtukiza yakiendelea kutokea kila siku duniani, neno la Mungu nalo linazidi kushika kasi kufuatia baa moja iliyopo Sinza-Lion jijini Dar kugeuzwa kuwa kanisa. Baa iliyopo Sinza-Lion jijini Dar ambayo imegeuzwa kuwa kanisa. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa baa hiyo maarufu iitwayo The Don, ukumbi wake ambao ulikuwa ukitumika kwa watu kupiga ulabu, hivi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAFURIKO YAZINGIRA BAA YA BEN KINYAIYA KINONDONI-VIJANA DAR
11 years ago
Habarileo02 May
Madeni ya walimu yageuzwa ‘dili’
RAIS Jakaya Kikwete, amesema Serikali imebaini kuwepo kwa mchezo mchafu unaotumiwa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu, unaosababisha malimbikizo ya madeni ya wafanyakazi hususani walimu kutomalizika, kwa maslahi yao binafsi.
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mapango ya Amboni hatarini, yageuzwa machimbo ya mawe
10 years ago
Vijimambo18 Apr
SIMBA YAGEUZWA KINCHENCHEDE NA MBEYA CITY NYUMBANI NA UGENINI.
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/000000000000000000000.jpg)
wachezaji wa mbeya city wakishangilia ushindi dhidi ya simba 2-0 leo mbeya katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika mbeya leo Timu ya Azam imeshinda leo.
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Bomoabomoa yakumba Kanisa la Anglikana Dar
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao
Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.
Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.
Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.
Baadhi ya watu waliotembelea...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA