Madeni ya walimu yageuzwa ‘dili’
RAIS Jakaya Kikwete, amesema Serikali imebaini kuwepo kwa mchezo mchafu unaotumiwa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu, unaosababisha malimbikizo ya madeni ya wafanyakazi hususani walimu kutomalizika, kwa maslahi yao binafsi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu
11 years ago
Habarileo21 May
'Madeni ya walimu kulipwa kabla ya Julai'
SERIKALI imesisisitiza kuwa italipa madeni ya malimbikizo ya mishahara ya walimu kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa fedha, 2013/14. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa, alieleza hayo bungeni juzi jioni wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
9 years ago
Habarileo02 Sep
‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.
11 years ago
Habarileo01 May
Madeni ya walimu yalipwe kabla ya Juni 30 - Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameiagiza Wizara ya Fedha kuhakikisha madeni ya walimu yamelipwa hadi kufikia Juni 30 mwaka huu, ili Serikali isiingie na madeni katika Bajeti ijayo.
10 years ago
Habarileo05 Apr
CWT yaitaka serikali ilipe madeni ya walimu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimeitaka Serikali kutekeleza ahadi ya kulipa madeni ya fedha za walimu ambayo yamewasilishwa serikalini ili kuepusha kutokea msuguano katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu.
11 years ago
Habarileo21 Jun
Serikali yataja mikakati ya kulipa madeni ya walimu
SERIKALI imeweka bayana mikakati yake ya kukabiliana na deni la walimu, ambao ni sehemu kubwa ya watumishi wake.
11 years ago
Habarileo02 Jan
Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu
FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIm22db*Fvs-cyHuKbdEr-GmP*5-Jm2sY5Yi6nVH6hOL3Viu5cJKs*V-D4V8T15bNKPBWBjW6f5GV4l0mjUkoolF/BAA.jpg)
BAA YAGEUZWA KANISA DAR