Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFURIKO YAZINGIRA BAA YA BEN KINYAIYA KINONDONI-VIJANA DAR

Maji yakiwa ‘yameweka kambi’ katika Pub (baa) ya Ben Kinyaiya … Yakionekana kuingia katika baadhi ya nyumba  zilizopo jirani na baa hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WIMBO MPYA: BEN KINYAIYA - RUPIA

Mtangazaji na msanii Ben Kinyaiya.

 

10 years ago

Mwananchi

Mafuriko Moshi yazingira vijiji saba, kiwanda

>Vijiji saba pamoja na Kiwanda cha Sukari cha TPC Ltd katika Wilaya ya Moshi, vimezingirwa na maji kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua za masika zinazoendelea kunyesha mkoani Kilimanjaro.

 

9 years ago

Dewji Blog

Shindano la Serengeti Masta lafana katika baa ya Meridian Kinondoni

1

Mmoja wa wateja wa bia ya Serengeti aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Masauni (wa kwanza kulia) akichagua karatasi ya maswali ili kujiwezesha kushinda kiasi cha Tsh. 50,000/= (Elfu Hamsini), wakati wa shindano la kumtafuta Serengeti Masta wa baa ya Meridan iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Shindano hilo ambalo linazunguka baa kwa baa jijini Dar es salaam na mikoani lina lengo la kuwatafuta washindi mbalimbali wanaoweza kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti na hatimaye...

 

5 years ago

Michuzi

DC KINONDONI ASISITIZA KUWACHAPA VIBOKO WATAKAOSABABISHA MIKUSANYIKO ISIYO YA LAZIMA BAA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MKUU  wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Daniel Chongolo amesema wataendelea kuchukua hatua ya kuchapa viboko watu ambao watakuwa wanafanya mikusanyiko ambao haitakuwa wa lazima hasa kwenye Baa huku akisisitiza watu watachapwa kweli kweli.

Chongolo amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na Michuzi TV pamoja na Michuzi Blog wakati anafafanua msimamo wa kuchukua hatua ya kuwacharaza viboko watu ambao watakuwa wanaweka mkusanyiko usio wa lazima...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZINDUA MPANGO WA KUWAINUA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SANAA UJULIKANAO KINONDONI TALENT SEARCH

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akizindua mpango wa kuwainua vijana wenye vipaji vya sanaa mbalimbali ujulikanao kama Kinondoni Talent Search. Kulia ni Mwanamuziki, Peter Msechu na Emanuel Mathias ambaye ni mchekeshaji maarufu 'MC Pilipili ambao watasaidia kuratibu jinsi ya kuwatambua vijana hao katika wilaya hiyo.DC Makonda akiwa amekaa na wanakamati watakaoshughulikia  mpango huo....

 

10 years ago

GPL

BAA YAGEUZWA KANISA DAR

Stori: Denis Mtima
WAKATI matukio mengi ya kushangaza na kushtukiza yakiendelea kutokea kila siku duniani, neno la Mungu nalo linazidi kushika kasi kufuatia baa moja iliyopo Sinza-Lion jijini Dar kugeuzwa kuwa kanisa. Baa iliyopo Sinza-Lion jijini Dar ambayo imegeuzwa kuwa kanisa. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa baa hiyo maarufu iitwayo The Don, ukumbi wake ambao ulikuwa ukitumika kwa watu kupiga ulabu, hivi...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA KINONDONI AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KATIKA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO MBWENI, BOKO

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikagua athari za mafuriko katika eneo la Mbweni, Dar es Salaam alipofanya ziara katika maeneo mbalimbali yaliyoathiriwa na mvua zilizokuwa zikinyesha mwishoni mwa wiki jijini.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadick, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda wakiangalia athari za mafuriko wakati walipotembelea maeneo yya Mbweni, Boko na maeneo mengine yaliyoathiriwa na mvua zilizonyesha kwa mfululizo jijini hivi karibuni.
Meya wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NHC: Vijana Kinondoni waungwe mkono

SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC), limetaka wakazi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake kununua matofali yanayofungamana yatakayokuwa yakitengenezwa na vijana wa manispaa hiyo. Wito huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani