Shindano la Serengeti Masta lafana katika baa ya Meridian Kinondoni
Mmoja wa wateja wa bia ya Serengeti aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Masauni (wa kwanza kulia) akichagua karatasi ya maswali ili kujiwezesha kushinda kiasi cha Tsh. 50,000/= (Elfu Hamsini), wakati wa shindano la kumtafuta Serengeti Masta wa baa ya Meridan iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Shindano hilo ambalo linazunguka baa kwa baa jijini Dar es salaam na mikoani lina lengo la kuwatafuta washindi mbalimbali wanaoweza kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti na hatimaye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Shindano la Serengeti Masta lahitimishwa kanda ya ziwa
Mshindi wa jumla washindanola Serengeti Masta kwa wakazi wa kanda ya ziwa Said Kanolo (kushoto) akipokea fedha taslim Tsh. 100,000/= kutoka kwa Afisa mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Joan Semguruma, (kulia) wakati wa shindano la mwisho kwa kanda ya ziwa la bia hiyo lililofanyika katika baa ya Shooters iliyopo Barabara ya Airport jijini Mwanza. Ushindi wa jumla wa Bw. Kanolo kwa wateja wa kanda ya ziwa umekuja baada ya kuwashinda wateja wengi walioshiriki katika kutambua ladha halisi ya...
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Shindano la Serengeti Masta lahitimishwa jiji la Mbeya na Arusha
Mshiriki wa shindano la Serengeti Masta na mkazi wa Arusha Daniel Mwakasungule akionja ladha tofauti za bia zilizo mbele ya meza yake ili kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti Premium Lager katika shindano la kumpata Serengeti Masta wa mkoa wa Arusha ambalo lilifanyika katika Baa ya Bondeni, Kijenge juu jijini Arusha mwishoni mwa wiki hii.
Mkazi wa Arusha na mpenzi wa bia ya Serengeti Premium Lager, Laota Elias akishiriki katika shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta wa jumla...
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Shindano la Serengeti Masta lawasha moto Ulaya Ulaya Bar ya Manzese
Mshereheshaji wa shindano la Serengeti Premium Lager liliopewa jina la “Serengeti Masta” Razani Kapalatu akiwa pamoja na mabalozi wa bia ya Serengeti premium Lager ambao kwa pamoja walitoa maelezo kwa wateja wa bia hiyo waliofika kushiriki katika shindano la kumtafuta Serengeti Masta ndani ya baa ya Ulaya Ulaya iliyopo Manzese jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Shindano hilo limedumu jijini Dar na mikoani kwa takriban muda wa miezi miwili sasa na kuweza kuzifikia baa mbalimbali ambapo...
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar
Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VhK-pJyqJrU/UwxVjmf3CZI/AAAAAAAFPaM/UOC4dvTernM/s72-c/IMG_0030.jpg)
SAFARI LAGER YATANGAZA RASMI BAA 10 ZILIZOINGIA FAINALI KATIKA SHINDANO LA UCHOMAJI NYAMA MKOA WA MBEYA KWA MWAKA 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-VhK-pJyqJrU/UwxVjmf3CZI/AAAAAAAFPaM/UOC4dvTernM/s1600/IMG_0030.jpg)
Shindano hili linalofanyika kila mwaka, linafanyika mwaka huu kwa mara ya saba mfululizo na litashirikisha mikoa ya Mbeya, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro na Dar Es Salaam. Tangu lilipoanzishwa mwaka 2008, shindano hili limekuwa na mvuto wa kipekee kwa...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Tusker yaitangaza “New Jambo Baa” kama mshindi wa tatu wa shindano la “Fanyakweli Kiwanjani”
Afisa Mauzo wa SBL, eneo la Manzese – Mabibo, Bi. Anna Msomba (katikati) na Gadner G Habashi (kulia) wakimkabidhi, Mercy Lupindu zawadi ya fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya “New Jambo” iliyopo Mabibo jijini Dar es Salaam ambayo iliibuka mshindi wa tatu wa Shindano la Fanyakweli Kiwanjani.
Afisa Mauzo wa SBL, eneo la Manzese – Mabibo, Bi. Anna Msomba, (kulia) akipozi katika picha ya pamoja na wahudumu, wateja na wafanyakazi wa Efm, wakati wa kuipongeza baa ya wiki ya “New Jambo”...
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kisuma na Safari Resort Baa za wiki kwenye shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Mkazi wa Mwembeyanga Bw. Frank Kabisi (katikati) akifurahia zawadi yake ya mfuko na Tisheti alizopewa wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya Kisuma iliyopo Mwembeyanga Tandika mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka kampuni ya bia ya Serengeti. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani na Tusker Gadner Habbash na (kulia) ni balozi wa bia hiyo Bi. Veronica Mbilinyi.
Mkazi wa...
11 years ago
GPLMAFURIKO YAZINGIRA BAA YA BEN KINYAIYA KINONDONI-VIJANA DAR
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Mawela ya Sinza na Havannah ya Segerea zaibuka baa za wiki shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Meneja bia ya Tusker SBL, Nandi Mwiyombella (kushoto) akikabidhi zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu kwa mkazi wa Segerea mwisho Bw. Rodride Nyange katika hafla ya kuipongeza baa ya Havannah iliyopo Segerea mwisho jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye nia ya kuhamasiha baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye upande wa huduma inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa...