Shindano la Serengeti Masta lahitimishwa kanda ya ziwa
Mshindi wa jumla washindanola Serengeti Masta kwa wakazi wa kanda ya ziwa Said Kanolo (kushoto) akipokea fedha taslim Tsh. 100,000/= kutoka kwa Afisa mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti Joan Semguruma, (kulia) wakati wa shindano la mwisho kwa kanda ya ziwa la bia hiyo lililofanyika katika baa ya Shooters iliyopo Barabara ya Airport jijini Mwanza. Ushindi wa jumla wa Bw. Kanolo kwa wateja wa kanda ya ziwa umekuja baada ya kuwashinda wateja wengi walioshiriki katika kutambua ladha halisi ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Shindano la Serengeti Masta lahitimishwa jiji la Mbeya na Arusha
Mshiriki wa shindano la Serengeti Masta na mkazi wa Arusha Daniel Mwakasungule akionja ladha tofauti za bia zilizo mbele ya meza yake ili kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti Premium Lager katika shindano la kumpata Serengeti Masta wa mkoa wa Arusha ambalo lilifanyika katika Baa ya Bondeni, Kijenge juu jijini Arusha mwishoni mwa wiki hii.
Mkazi wa Arusha na mpenzi wa bia ya Serengeti Premium Lager, Laota Elias akishiriki katika shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta wa jumla...
9 years ago
Dewji Blog06 Oct
Shindano la Serengeti Masta lafana katika baa ya Meridian Kinondoni
Mmoja wa wateja wa bia ya Serengeti aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Masauni (wa kwanza kulia) akichagua karatasi ya maswali ili kujiwezesha kushinda kiasi cha Tsh. 50,000/= (Elfu Hamsini), wakati wa shindano la kumtafuta Serengeti Masta wa baa ya Meridan iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Shindano hilo ambalo linazunguka baa kwa baa jijini Dar es salaam na mikoani lina lengo la kuwatafuta washindi mbalimbali wanaoweza kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti na hatimaye...
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Shindano la Serengeti Masta lawasha moto Ulaya Ulaya Bar ya Manzese
Mshereheshaji wa shindano la Serengeti Premium Lager liliopewa jina la “Serengeti Masta” Razani Kapalatu akiwa pamoja na mabalozi wa bia ya Serengeti premium Lager ambao kwa pamoja walitoa maelezo kwa wateja wa bia hiyo waliofika kushiriki katika shindano la kumtafuta Serengeti Masta ndani ya baa ya Ulaya Ulaya iliyopo Manzese jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Shindano hilo limedumu jijini Dar na mikoani kwa takriban muda wa miezi miwili sasa na kuweza kuzifikia baa mbalimbali ambapo...
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar
Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Washindi 3 Bora wa Shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania kwa kanda ya ziwa kupatikana leo
Majaji wa Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Single Mtambalike (kulia), Yvonne Chery (Katikati) na Roy Sarungi (Kushoto) wakipitia alama za washiriki kwaajili ya kuweza kuwatangaza washindi waliofanikiwa kuingia hatua ya tatu ambapo wanachukuliwa washiriki 30 kwaajili ya kupata mchujo wa washindi watatu bora ambao wataibuka na Kitita Cha Shilingi laki 5 kila Mmoja kwa Kanda ya Ziwa na baadae kujiunga na washindi wengine watatu...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-T_RVXN0KJq4/U-phWIIxhCI/AAAAAAAF_Bw/ALdKyqvSrzg/s72-c/FRANK%2B1.jpg)
KAMPUNI YA SEED CO KUZAWADIA WANAFUNZI MADAWATI 100 YENYE THAMANI YA MIL 15 KATIKA SHINDANO LA MASHAMBA DARASA MIKOA YA KANDA YA ZIWA.
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mashabiki kanda ya Ziwa wastaarabu.
9 years ago
Habarileo16 Aug
Waandishi Kanda ya Ziwa wafundwa
WAANDISHI wa habari nchini, wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili na misingi ya uandishi wa habari hususan za uchunguzi wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Mbili kutoka Kanda ya Ziwa