Mawela ya Sinza na Havannah ya Segerea zaibuka baa za wiki shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Meneja bia ya Tusker SBL, Nandi Mwiyombella (kushoto) akikabidhi zawadi ya mfuko wenye fulana na kalamu kwa mkazi wa Segerea mwisho Bw. Rodride Nyange katika hafla ya kuipongeza baa ya Havannah iliyopo Segerea mwisho jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Kampeni hiyo yenye nia ya kuhamasiha baa za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye upande wa huduma inatarajiwa pia kuwafikia wakazi mbalimbali wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog01 Oct
Friends PUB ya Segerea na Checkpoint Chanika baa za wiki Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Mkazi wa Kigogo Fresh-Chanika Bi. Mazoea Kombo (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia Serengeti kanda ya Chanika Bw. Tesha Stanslaus (Kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Bi. Mazoea aliimwagia sifa bia hiyo kuwa ni laini na haimchoshi.
Kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani,...
9 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kisuma na Safari Resort Baa za wiki kwenye shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani
Mkazi wa Mwembeyanga Bw. Frank Kabisi (katikati) akifurahia zawadi yake ya mfuko na Tisheti alizopewa wakati wa wa hafla ya kuipongeza baa ya Kisuma iliyopo Mwembeyanga Tandika mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker toka kampuni ya bia ya Serengeti. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani na Tusker Gadner Habbash na (kulia) ni balozi wa bia hiyo Bi. Veronica Mbilinyi.
Mkazi wa...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Tusker yaitangaza “New Jambo Baa” kama mshindi wa tatu wa shindano la “Fanyakweli Kiwanjani”
Afisa Mauzo wa SBL, eneo la Manzese – Mabibo, Bi. Anna Msomba (katikati) na Gadner G Habashi (kulia) wakimkabidhi, Mercy Lupindu zawadi ya fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya “New Jambo” iliyopo Mabibo jijini Dar es Salaam ambayo iliibuka mshindi wa tatu wa Shindano la Fanyakweli Kiwanjani.
Afisa Mauzo wa SBL, eneo la Manzese – Mabibo, Bi. Anna Msomba, (kulia) akipozi katika picha ya pamoja na wahudumu, wateja na wafanyakazi wa Efm, wakati wa kuipongeza baa ya wiki ya “New Jambo”...
9 years ago
Dewji Blog16 Sep
Tusker Fanyakweli Kiwanjani yawakuna wakazi wa Mbezi Beach na Kimara wiki hii
Mteja wa bia ya Tusker Bi. Elizabeth Ulomi (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Akijiandaa kutoa zawadi hiyo (kulia) ni Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya...
9 years ago
Dewji Blog01 Sep
Baa ya Baracuda, Tabata na Check Point ya Chanika washindi wa wiki ‘Fanyakweli Kiwanjani’
Mpenzi wa bia ya Tusker Daniel Mawi (31)(wa pili kulia) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli kiwanjani Gadner Habash (wa kwanza kulia) wakati kampeni hiyo ilipofunga kambi katika baa ya Check point Chanika kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye shindano la Fanyakweli Kiwanjani linaloendeshwa na bia ya Tusker. Anayekabidhi fulana (wa kwanza kushoto) ni balozi wa bia ya Tusker Veronica Mbilinyi na wa pili kushoto ni mkazi wa Chanika ndugu John Abel.
Mpenzi wa...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Kampeni ya TUSKER ‘Fanyakweli Kiwanjani’ sasa kutimua vumbi mikoani
Kampeni maarufu ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inatarajia kutimua vumbi wiki hii kwa wakazi wa jiji la Dar huku ikitanua wigo wake mikoani baada ya kufanya vizuri kwenye kipindi chake cha kwanza.
Kampeni hii inayoletwa kwenu na Kampuni ya bia ya Serengeti imejipanga kusaidia baa mbalimbali za mitaa tunayoishi na kuzipigia promo ya huduma zake kwa wapenzi mbalimbali wa kinywaji cha Tusker.
Akizungumza kuhusiana na mchakato mzima wa Kampeni hiyo Meneja chapa bia ya Tusker Bi. Sialouise Shayo...
9 years ago
Dewji Blog08 Sep
Sherehe za mkondo wa Baa zanogesha promosheni ya Tusker ‘Fanya Kweli Kiwanjani’
Mkazi wa Kimara Kona, Thomas Kimaro (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Meneja Mipango na Matukio-SBL Lulu Mduma (Kushoto) katika shindano la Tusker Fanyakweli Kiwanjani lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya sanaa vilivyopo Legho, Sinza jijini Dar es salaam (Kulia) ni Mtangazaji wa redio Efm na mshereheshaji wa Kampeni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash.
Mkazi wa Sinza Bw. Nasib Ngoya (kulia) akionyesha zawadi yake ya mfuko wenye fulana aliopewa...
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
“Kilwa Road Pub” yashinda shindano la Fanyakweli Kiwanjani
Bi. Veronica Mbilinyi (kulia) mhudumu wa chapa ya Tusker toka SBL akikabidhi zawadi ya fulana, mfuko na bia za bure kwa Bi. Anjelina Urassa ambaye ni mpenzi wa bia ya Tusker aliyejumuika na marafiki zake kuipongeza baa ya wiki “Kilwa road Pub” iliyopo Kurasini jijini Dar es salaam ambayo ilishinda na kuwa baa ya nne katika shindano la “Fanya Kweli Kiwanjani” linalodhaminiwa na bia ya Tusker.
Bi. Magret Mjata akijibu swali la kwanini anapenda kutumia kinywaji cha Tusker ambapo alijishindia...
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
M.K Pub-yafunga shindano la “fanyakweli kiwanjani” kwa kishindo jijini Dar
Meneja wa chapa ya Tusker toka kampuni ya bia ya Serengeti, Bi. Sialouise Shayo (kulia) akitoa zawadi ya fedha taslim Tsh.100,000/= kwa wahudumu wa baa ya MK iliyopo Kinondoni jijini Dar wakati wa sherehe za kuipongeza baa hiyo ambapo baa hiyo illibuka mshindi wa mwisho wa shindano la Fanyakeli Kiwanjani. Zawadi hiyo ni kwa ajili ya wahudumu wote wa baa hiyo baada ya kufanya kweli kwa kutoa huduma nzuri kwa wateja wa Tusker waliofika kiwanjani hapo. Wakipokea zawadi hiyo kwa niaba ya...