Mafuriko Moshi yazingira vijiji saba, kiwanda
>Vijiji saba pamoja na Kiwanda cha Sukari cha TPC Ltd katika Wilaya ya Moshi, vimezingirwa na maji kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua za masika zinazoendelea kunyesha mkoani Kilimanjaro.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 May
Mafuriko yaharibu kiwanda, makazi Moshi
NA RODRICK MUSHI, MOSHI
ZAIDI ya kaya 700 katika Kata ya Arusha Chini TPC, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, hazina makazi baada ya nyumba zao kuharibiwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha juzi.
Pamoja na madhara hayo kwa wananchi, pia mafuriko hayo yameharibu miundombinu ya Kiwanda cha Sukari cha TPC, taasisi mbalimbali pamoja na mashamba ya mazao ya chakula.
Taarifa hiyo ilitolewa jana na Ofisa Mtendaji na Utawala wa Kiwanda cha TPC, Jaffari Ally, alipokuwa akitoa...
11 years ago
GPLMAFURIKO YAZINGIRA BAA YA BEN KINYAIYA KINONDONI-VIJANA DAR
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Waliokufa mafuriko Kyela wafikia saba
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xb55vVxwQUY/Uz7yFeoCjBI/AAAAAAAFYmU/FdKc835myJY/s72-c/New+Picture+(15).png)
HIVI NDIVYO HALI HALISI ILIVYO VIJIJI VYA MAGOWE NA MATETENI MJINI MOROGORO BAADA YA MAFURIKO MAKUBWA
![](http://1.bp.blogspot.com/-xb55vVxwQUY/Uz7yFeoCjBI/AAAAAAAFYmU/FdKc835myJY/s1600/New+Picture+(15).png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jm_YbFshR-w/Uz7yFJnLAOI/AAAAAAAFYmM/t9DgcsKZJ0o/s1600/New+Picture+(16).png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Oan6vF2BFcw/Uz7yEwuBwzI/AAAAAAAFYmI/lqkeHJT_Uf0/s1600/New+Picture+(17).png)
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Wazuru kiwanda cha kimea Moshi
VIONGOZI wa Vyama vya Ushirika mkoani Arusha, wamefanya ziara kiwanda cha kimea kinachomilikiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na kuonesha kufurahishwa na namna kimea kinavyoandaliwa...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mgogoro Kiwanda cha kahawa Moshi wafukuta
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ERGhsT8YOWM/VX8vZxLPlQI/AAAAAAAARA8/e-1bC0VdmI4/s72-c/E86A9463%2B%2528800x533%2529.jpg)
TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA DARAJA KATIKA VIJIJI VYA SINGANA SUNGU WILAYA YA MOSHI VIJIJINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ERGhsT8YOWM/VX8vZxLPlQI/AAAAAAAARA8/e-1bC0VdmI4/s640/E86A9463%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VvawBxfgl3E/VX8vVcrDzJI/AAAAAAAARAg/5Stb3z2doco/s640/E86A9442%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-KpjsoO1S4Oo/VX8vVPSw54I/AAAAAAAARAk/LgUx5VRuDvY/s640/E86A9440%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cFlCy7Qgih0/VX8vScyq5AI/AAAAAAAARAM/bwu0lhnqVig/s640/E86A9437%2B%2528800x533%2529.jpg)
9 years ago
StarTV02 Oct
Kiwanda cha China Papers Co-operation Ltd Moshi chafungwa
Baraza la Usimamizi wa Mazigira nchini NEMC limekifunga kiwanda cha China papers Co-operation Limited cha mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa muda usiojulikana kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa na Serikali ikiwemo suala la usafi wa mazingira.
Miongoni mwa sababu zilizochangia kufungwa kiwanda hicho ambacho kinatengeneza Karatasi maalumu (Toilet Paper) ni pamoja na kuwepo kwa mazingira machafu hali ambayo inahatarisha afya za wafanyakazi na wakazi wanaoishi maeneo ya kuzunguka ...
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Saba wakamatwa kwa kulea watoto Moshi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu saba wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa vituo vitatu vilivyogundulika kuhifadhi watoto 147 kwa siri Katika Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alitoa taarifa hiyo jana, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema kwamba, watu hao wanashikiliwa kwa kosa la kulea watoto katika mazingira hatarishi na kusababisha wengine wasiendelee na masomo kinyume cha...