Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiwanda cha China Papers Co-operation Ltd Moshi chafungwa

Baraza la Usimamizi wa Mazigira nchini NEMC limekifunga kiwanda cha China papers Co-operation Limited cha mjini Moshi mkoani Kilimanjaro kwa muda usiojulikana kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa na Serikali ikiwemo suala la usafi wa mazingira.

Miongoni mwa sababu zilizochangia kufungwa kiwanda hicho ambacho kinatengeneza  Karatasi maalumu (Toilet Paper) ni pamoja na kuwepo kwa mazingira machafu hali ambayo inahatarisha afya za wafanyakazi na wakazi wanaoishi maeneo ya kuzunguka ...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KUKAUSHA NYETI ZA NG'OMBE CHAFUNGWA

Kiwanda bubu cha wachina kilichipo Tabata Bima kinachokausha nyeti za Ng'ombe kimimefungwa baada ya kukutwa wanaendesha shughuli zao katika mazingira machafu sana na pia bila kuwa na vibali vya kuendesha shughuli hiyo.


 

9 years ago

Habarileo

Kiwanda cha Wachina wakausha nyeti za ng’ombe chafungwa

SERIKALI imekifungia na kukitoza faini ya Sh milioni kumi kiwanda bubu cha Wachina, kilichopo Tabata Bima, Dar es Salaam kwa kukiuka taratibu za nchi. Kiwanda hicho kilikuwa kikijihusisha kukausha nyeti za ng’ombe na kusafirisha bila kuwa na vibali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazuru kiwanda cha kimea Moshi

VIONGOZI wa Vyama vya Ushirika mkoani Arusha, wamefanya ziara kiwanda cha kimea kinachomilikiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na kuonesha kufurahishwa na namna kimea kinavyoandaliwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgogoro Kiwanda cha kahawa Moshi wafukuta

Kiwanda cha Kukoboa Kahawa cha Tanganyika (TCCCO) kimeshikilia msimamo wake wa kuuza baadhi ya majengo yake ili kununua mitambo mipya na ya kisasa ya kukoboa kahawa.

 

10 years ago

Michuzi

WAKUU WA TAASISI ZA MAGEREZA KUTOKA NCHI ZA AFRIKA WATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA GEREZA KUU KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

 Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Botswana, Silas Motlalekgosi akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wa Mkoani Kilimanjaro alipotembelea Kiwanda cha Viatu cha Gereza Kuu Karanga Moshi leo Juni 25, 2015 akiwa na Viongozi Wakuu wa Taasisi za Urekebishaji/ Magereza kutoka Nchi za Swaziland, Uganda, Kenya, Zambia. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Swaziland, Isaya Ntshangase akisaini kitabu cha Wageni alipowasili katika Kiwanda cha Viatu cha Gereza Kuu Karanga, Moshi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU GEREZA KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

Kamishna wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Tuhaferi(suti nyeusi) akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Magereza Mkoani Kilimanjaro alipotembelea Kiwanda cha Viatu, Gereza Kuu Karanga Moshi, Juni 21, 2014 Mkoani Kilimanjaro. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Tuhaferi(suti nyeusi) akiteta jambo na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(vazi la drafti) alipotembelea Kiwanda cha Viatu, Gereza Kuu Karanga Moshi, Juni 21, 2014. Wengine ni Maafisa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chuo cha kidini chafungwa Kenya

Maafisa nchini Kenya wameifunga Madrassa moja nchini humo kwa madai kuwa inafunza masomo ya itikadi kali.

 

11 years ago

GPL

CHUO FEKI CHA UUGUZI CHAFUNGWA, WANAFUNZI WAHAHA

Wanafunzi wa Chuo cha Uuguzi cha Huruma ya Mungu Yatosha kilichogundulika kuwa ni feki katika kata ya Nyehunge wilayani Sengerema wakiwa ndani ya darasa lao huku wakiwa wamejawa na majonzi baada ya kutapeliwa.
Jengo la chuo feki cha Uuguzi (nursing) cha Huruma ya Mungu Yatosha  kilichopo kata ya Nyehunge wilayani Sengerema.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani