KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU GEREZA KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO
Kamishna wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Tuhaferi(suti nyeusi) akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Magereza Mkoani Kilimanjaro alipotembelea Kiwanda cha Viatu, Gereza Kuu Karanga Moshi, Juni 21, 2014 Mkoani Kilimanjaro. Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Tuhaferi(suti nyeusi) akiteta jambo na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(vazi la drafti) alipotembelea Kiwanda cha Viatu, Gereza Kuu Karanga Moshi, Juni 21, 2014. Wengine ni Maafisa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAKUU WA TAASISI ZA MAGEREZA KUTOKA NCHI ZA AFRIKA WATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA GEREZA KUU KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO
5 years ago
MichuziMASAUNI ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA KARANGA MKOANI KILIMANJARO,AWATAKA KUONGEZA UFANISI KATIKA BIDHAA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiangalia kiatu kinachotengenezwa katika Kiwanda cha Gereza Karanga mkoani Kilimanjaro,mwishoni mwa wiki wakati wa Ziara ya Ukaguzi wa shughuli zinazofanywa kiwandani hapo ambapo aliwataka uongozi wa kiwanda hicho kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa bidhaa hizo za ngozi ili...
11 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUKABIDHIWA MADARAKA YA UONGOZI KWA KAMISHNA JENERALI MPYA WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APONGEZWA KWA KUFUFUA KIWANDA CHA SABUNI GEREZA KUU RUANDA, MBEYA
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja amepongezwa kwa kukifufua Kiwanda cha utengenezaji Sabuni za aina mbalimbali Gereza Kuu Ruanda, Mbeya.
Pongezi hizo zimetolewa na Maofisa na Askari wa Magereza Mkoani Mbeya kutokana na kukiwezesha Kiwanda hicho vifaa na malighafi za utengenezaji sabuni hivyo kukifanya Kiwanda hicho kizalishe sabuni za kutosha kwa Wafungwa waliopo Magerezani Tanzania Bara.
"Tunampongeza sana Kamishna Jenerali Minja hususani kwa...
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
10 years ago
MichuziWANAHABARI WATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE KINGOLWIRA - MOROGORO, WAMPONGEZA KAMISHNA JENERALI MINJA KWA JUHUDI KUBWA ZA MABORESHO NDANI YA MAGEREZA NCHINI
10 years ago
Michuzi06 Jun
MAZISHI YA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA YAFANYIKA OLD MOSHI MKOANI KILIMANJARO