BAAMEDI AUZA BAA NA MTOTO
![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crMzB1BOgIqFzx2M-1rtcbVACtEw0H8BQIrOpKhzP-V4J9sO6vHGqBeWlymoybgmVkC3ghKQOa*xU0sMAqZ6GXj/baamed.jpg?width=650)
Chande Abdallah na Deogratius Mongela MSICHANA aliyejitambulisha kwa jina la Halima Jumanne (20) amejikuta akiuza baa huku akiwa na mtoto wa mwaka mmoja na nusu ubavuni kisa kikidaiwa hali ngumu ya maisha. Halima Jumanne (20) akiwa na mwanaye mzigoni katika baa moja (jina limehifadhiwa) iliyopo Buza Kanisani jijini Dar. Tukio hilo la kushangaza lilijiri Juni 2, mwaka huu kwenye baa moja (jina kapuni) iliyopo Buza Kanisani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbK9OSx1MQ2SAtd8Z-nmf3Kl*S7Gq1gYJeP7CAHj9P9FkItduVBJrYdvZ5SGrvNf32-Ykk*nKXzwIRrSwpKZmzd/baamedi.jpg?width=650)
BAAMEDI AMGONGA MUUZA MAHINDI AKIFUNDISHWA GARI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bwL3Lu5CB1TplUO2owucmhVUqS8x15kjIX8AhDXuN1kNyiVD-q6z40GMAk-mPFCWDN3LNNoWLDbPJrXRQf4144P/WEMAGARI.jpg)
WEMA AUZA GARI LA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcIyb1xwkM1nZ0tDZZQl5Xc1zwheRJzGbkp91VR7y8Ju4qAHNUvPGrf6BcfOXsZ3hPUJWbOLLmYa0-9c35Fdx-3E/JAB.jpg?width=650)
AUZA MAHINDI, AUGUA FANGASI MIGUUNI
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Mwekezaji auza ardhi kinyemela Arumeru
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Wastara auza vitu vyake vya ndani
Wastara Juma.
Imelda mtema
Inauma sana! Msanii wa filamu ambaye anasumbuliwa na tatizo na mguu, Wastara Juma inadaiwa hali aliyonayo kwa sasa si nzuri na kupata pesa ya matibabu imekuwa ngumu kwake hivyo ameamua auze baadhi ya vitu vyake vya ndani.
Ndugu wa Wastara aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alisema kuwa, msanii huyo anapitia kipindi kigumu kwani anahitaji pesa nyingi ili arudi tena Nairobi kwa ajili ya matibabu.
“Kwa maumivu aliyonayo hapati hata muda wa kutoka, muda mwingi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YRV3Lv4YkELzS-3z7*edqv-4zCx7nis*-uHL4U2Xiwh-UtS5AnpyHqu8TSaNAUlq0Do7MrF2Hw*B6Ror9YxDwSza7yu1nyP4/Happy.jpg)
HAPPY AUZA PETE YA NDOA, PESA ALEWEA
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Watishia kugeuza madarasa baa