Watishia kugeuza madarasa baa
>Baadhi ya wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, wametishia kugeuza majengo ya Shule ya Sekondari ya Manda, waliyoyajenga kwa nguvu zao kuwa baa, baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kukataa kutoa kibali hadi hapo shule itakapokuwa na maabara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Mrema atuhumu wajumbe kugeuza Bunge ‘shamba’
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QUUrS8Ttjn8/VTYhQXf2tPI/AAAAAAAHSMg/cBtu5BXGM-A/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: HAIRUHUSIWI SERIKALI YA MTAA KUGEUZA ARDHI YA MTU NJIA BILA KUMLIPA FIDIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-QUUrS8Ttjn8/VTYhQXf2tPI/AAAAAAAHSMg/cBtu5BXGM-A/s1600/1.1774256.jpg)
Kuna malalamiko katika baadhi ya maeneo na zaidi malalamiko haya yamekuwa yakielekezwa kwa mamlaka za serikali za mitaa. Nimewahi kuandika kuhusu ukiukaji wa taratibu mbalimbali ambao hufanywa na serikali za mitaa katika maeneo au ardhi za watu. Pia niliandika kuhusu upotoshi wa mamlaka za serikali za mitaa katika kuwaandalia watu mikataba ya mauzo ya ardhi wakati wakijua kuwa hawaruhusiwi kufanya hivyo jambo...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Muleba yajivunia ziada ya madarasa
WAKATI wanafunzi wengi wakikwama kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu kutokana na uhaba wa madarasa unaozikabiri baadhi ya halmashauri nchini, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera imetamba kuwa na madarasa ya...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Wataliano wajenga madarasa 7 Bondwa
MARAFIKI kutoka Italia kupitia Shirika la Masista Mgolole mkoani Morogoro, wamejenga vyumba saba vya madarasa, madawati na miundombinu mingine katika Shule ya Msingi Bondwa.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Yatima wakabiliwa na ukosefu wa madarasa
MKURUGENZI wa kituo cha kulelea yatima cha Sifa Group Foundation Children Center kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam ametoa wito kwa wadau mbalimbali nchini kujitolea kusaidia vituo vya watoto yatima ili...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Chawaphata watishia kugoma
CHAMA cha Wamiliki wa Famasi nchini (Chawaphata), kimetishia kufanya mgomo wa kufunga maduka yao kama njia mojawapo ya kushinikiza kufanyiwa kazi kwa matatizo yanayowakabili kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa Chawaphata,...
10 years ago
Habarileo19 Dec
Majaliwa ataka halmashauri kukamilisha madarasa
NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa ametaka halmashauri kushirikiana na wadau wote wa elimu, kukamilisha majengo na kuandaa mazingira ya kuwapokea wanafunzi wote waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka 2015.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Madiwani Temeke wakataa madarasa Chamazi
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Temeke wamekataa jengo la madarasa manne la Shule ya Sekondari Chamazi kuitwa jina la Rais Jakaya Kikwete kutokana na kujengwa chini ya kiwango. Akizungumza...