Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrema atuhumu wajumbe kugeuza Bunge ‘shamba’

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Augustine Mrema amedai baadhi ya wajumbe wanataka kuligeuza bunge hilo ‘shamba la bibi’ kwa kudai posho zaidi kwa kisingizio cha kupanda gharama za maisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma

IMGS9249

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu  siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo

PIX 1

Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.

Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

11 years ago

Mwananchi

Watishia kugeuza madarasa baa

>Baadhi ya wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, wametishia kugeuza majengo ya Shule ya Sekondari ya Manda, waliyoyajenga kwa nguvu zao kuwa baa,  baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, kukataa kutoa kibali hadi hapo shule itakapokuwa na maabara.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Habarileo

Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani