Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TEMBA ENGINEERING WAMALIZA MRADI WA KUUNDA MASHINE YA KUKAUSHIA MATUNDA KWENYE SHAMBA LA UDC

Dr. Temba (kulia) akimsikiliza Mr. Franklin Moore kutoka USAID (kushoto) alipokuja kukagua mashine ya Dr. Temba ya kukaushia matunda mara tu baada ya Temba Engineering kumaliza kuiunda akisaidiwa na NY Ebra kwenye shamba la University of the District of Columbia lililopo Beltsville, Maryland.Dr. Samuel Lakeou (wapili toka kushoto)ambaye yupo kitengo cha umeme na computer engineering akifafanua jambo kuhusiana na mashine ya Dr. Temba kwa Mr. Franklin Moore kulia ni Dr. Sagun Adebayo ambaye ni...

 

10 years ago

Habarileo

Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana akagua Shamba la Mikorosho 19270 iliyoharibika katika kijiji cha Magawa, Mkuranga na kuwaahidi kuwasaidia wakulima wa zao hilo kupata fidia

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

IMG_5802

 Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy

Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari  wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”

Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema  aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Shamba la mwekezaji lavamiwa

WANANCHI zaidi ya 60 wamevamia shamba la muwekezaji mwenye asili ya kiasia, Pradeep Lodhia na kufanya uharibifu wa mali mbalimbali. Wananchi hao walivamia shamba la mwekezaji huyo lijulikanalo kama Tanzania Plantation lililopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi wa shamba ajinyonga

MKAZI wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, Hassan Ngoso (48), ambaye ni mlinzi wa ahamba, amefariki dunia baada ya kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema tukio...

 

11 years ago

Michuzi

Shamba linauzwa Heka 18, Bagamoyo

 Shamba hili LIMEPIMWA Ukubwa: Area 70,587m2 (SQM) Approx. Heka 18. Eneo: Kifude, Makurunge, Bagamoyo. Umbali: Shamba lipo 17km kutoka Bagamoyo mjini kuelekea barabara ya Msata, 3km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo – Msata kuingia ndani ya shamba. Mazao yaanayoweza kupandwa: Mananasi, Mahindi, Mihogo, Miwa, Alizeti na kadhalika… BEI: Milioni Arubaini na Tisa (49m). Wasiliana na 0715766555

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani