Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana akagua Shamba la Mikorosho 19270 iliyoharibika katika kijiji cha Magawa, Mkuranga na kuwaahidi kuwasaidia wakulima wa zao hilo kupata fidia

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

IMG_5802

 Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shamba la mwekezaji lavamiwa

WANANCHI zaidi ya 60 wamevamia shamba la muwekezaji mwenye asili ya kiasia, Pradeep Lodhia na kufanya uharibifu wa mali mbalimbali. Wananchi hao walivamia shamba la mwekezaji huyo lijulikanalo kama Tanzania Plantation lililopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlinzi wa shamba ajinyonga

MKAZI wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam, Hassan Ngoso (48), ambaye ni mlinzi wa ahamba, amefariki dunia baada ya kujinyonga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema tukio...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Shamba linauzwa Heka 18, Bagamoyo

 Shamba hili LIMEPIMWA Ukubwa: Area 70,587m2 (SQM) Approx. Heka 18. Eneo: Kifude, Makurunge, Bagamoyo. Umbali: Shamba lipo 17km kutoka Bagamoyo mjini kuelekea barabara ya Msata, 3km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo – Msata kuingia ndani ya shamba. Mazao yaanayoweza kupandwa: Mananasi, Mahindi, Mihogo, Miwa, Alizeti na kadhalika… BEI: Milioni Arubaini na Tisa (49m). Wasiliana na 0715766555

 

11 years ago

Habarileo

JK awapa wananchi shamba la Efatha

RAIS Jakaya Kikwete ameagiza kurejeshwa kwa shamba la ekari takribani 12,000 kwa wananchi ambalo liliuzwa kwa taasisi ya Efatha Ministry inayoongozwa na Nabii Josephat Mwingira. Agizo hilo la Rais Kikwete limetolewa jana kupitia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakati akiwahutubia wakazi wa Kata ya Moro katika Kijiji cha Mawenzusi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakurupushwa wakigawana shamba la Yona

Dar es Salaam. Zaidi ya wakazi 50 wa Kijiji cha Kerege wilayani Bagamoyo wamevamia shamba la waziri zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona lililopo jirani na kijiji lakini hawakutimiza azma yao ya kugawana baada ya kukurupushwa na polisi.

 

10 years ago

Habarileo

Shamba la miwa lachomwa moto

SHAMBA la miwa inayokadiriwa kufikia tani 6,000 baada ya kuvunwa lenye ukubwa wa hekta 240, limechomwa moto na watu wasiojulikana na kusababisha hasara ya Sh milioni 280.2, mali ya wakulima wa wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani