Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakurupushwa wakigawana shamba la Yona

Dar es Salaam. Zaidi ya wakazi 50 wa Kijiji cha Kerege wilayani Bagamoyo wamevamia shamba la waziri zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona lililopo jirani na kijiji lakini hawakutimiza azma yao ya kugawana baada ya kukurupushwa na polisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

10 years ago

Habarileo

Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

 

10 years ago

TheCitizen

Mramba, Yona jailed

Dar es Salaam. There were audible groans of disbelief and visible freely-flowing tears at the Kisutu Resident Magistrate’s Court yesterday after former cabinet ministers Basil Mramba, 75, and Daniel Yona, 76, were sentenced to serve three years in jail for abuse of office and causing Sh11.7 billion loss to the government.

 

10 years ago

GPL

MRAMBA, YONA WAKESHA...

Mramba (kushoto) akiteta jambo na wakili wake, Peter Swai baada ya Mahakama kumhukumu miaka mitatu jela na faini ya shilingi milioni tano. Harun sanchawa na denis mtima
JOTO ya jiwe! Wafungwa wawili wapya katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam, Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na mwenzake wa Nishati na Madini, Daniel Yona, wanadaiwa kukesha huku wakilia katika siku wakianza kutumikia kifungo chao cha miaka...

 

11 years ago

TheCitizen

Mramba, Yona case postponed

The Kisutu Resident Magistrate’s Court has adjourned to February 26 hearing of the abuse of office case against former cabinet ministers Basil Mramba and Daniel Yona.

 

10 years ago

IPPmedia

Mramba, Yona appeal against imprisonment.


Mramba, Yona appeal against imprisonment.
IPPmedia
Two former cabinet ministers, Basil Mramba and Daniel Yona, recently sentenced to serve three years in jail, yesterday filed an appeal against the ruling at the High Court of Tanzania. The two were accused of abusing office and causing a Sh11.7 billion ...

 

10 years ago

Habarileo

Mramba, Yona watupwa jela

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba akiteta na Wakili wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona. Picha ndogo kulia ni Mramba na Yona wakipanda kwenye gari la Polisi. (Na Mpigapicha Wetu).VILIO na simanzi vilitawala katika eneo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Yona ajitetea, amtaja Mkapa


Na mwandishi wetu
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, ameileza mahakama kuwa mchakato wa kumpata mkaguzi wa madini ya dhahabu ulifuata utaratibu zote na kusimamiwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Yona ambaye jana alipanda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuanza kujitetea, alidai mwaka 2002 kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu mapato ya dhahabu iliyokuwa ikichimbwa na kampuni tano za kigeni.
Akiongozwa na wakili wake Elisa Msuya mbele ya Jopo linaloongozwa na Jaji...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Yona azidi kujitetea kortini


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, amekiri kuwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, aliagiza mchakato wa kumpata mkaguzi wa dhahabu usitishwe.
Akiendelea kutoa utetezi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana, Yona alidai kuwa hakutekeleza ushauri huo kwa kuwa Ikulu ilishatoa kibali cha kuendelea na mchakato.
Akiongozwa na wakili wake, Elisa Msuya, mbele ya jopo la majaji linaloongozwa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumanyika na Msajili Saul...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani