Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yona azidi kujitetea kortini


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, amekiri kuwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, aliagiza mchakato wa kumpata mkaguzi wa dhahabu usitishwe.
Akiendelea kutoa utetezi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana, Yona alidai kuwa hakutekeleza ushauri huo kwa kuwa Ikulu ilishatoa kibali cha kuendelea na mchakato.
Akiongozwa na wakili wake, Elisa Msuya, mbele ya jopo la majaji linaloongozwa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumanyika na Msajili Saul...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Yona kuanza kujitetea matumizi mabaya ya ofisi

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona leo anaanza kujitetea mahakamani dhidi ya tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7.

 

10 years ago

Mtanzania

Yona amtaja tena Mkapa kortini

Benjamin Mkapa

Benjamin Mkapa

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, amedai mahakamani kwamba Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, alikuwa akifuatilia hatua kwa hatua na alikubali mchakato wa ukaguzi wa dhahabu ufanyike kwa haraka.

Yona alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alipokuwa akijitetea kwa kuongozwa na wakili wake, Elisa Msuya mbele ya jopo la mahakimu watatu linaloundwa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumanyika na Msajili Saul Kinemela.

Alidai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watano kujitetea kesi ya kulawiti

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa watano wanaoshitakiwa kwa tuhuma za kulawiti mtoto wa kiume wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) ambaye ni mwanafunzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti, DAS waanza kujitetea

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, John Ng’oina anakiri fedha hizo kutofanya kazi yoyote na hakuna ahadi iliyokusanywa tangu mwaka 2009 kwa madai kuwa, wajumbe wa kamati hawajatimiza wajibu wao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius aanza kujitetea mahakamani

Oscar Pistorius ameanza kutoa utetezi wake katika kesi ya mauaji inayomkabili kwa kuwaomba radhi familia ya Reeva Steenkamp

 

10 years ago

Mwananchi

Kina Mramba kuendelea kujitetea

Kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh 11.7 bilioni inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na wenzake itaendelea kusikilizwa mfululizo kwa upande wa utetezi Novemba 24 mpaka 28, mwaka huu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal kujitetea nyumbani dhidi ya Newcastle

Klabu za Ligi Kuu ya England zitashuka dimbani kusaka alama za kwanza Mwaka Mpya hapo kesho Jumamosi, Arsenal wakijaribu kuendeleza uongozi kileleni.

 

10 years ago

Mtanzania

Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow

willium NgelejaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Cisse,Evans wapewa muda kujitetea

Mchezaji wa Newcastle Papiss Cisse na Johny Evans wa Manchester United wanashitakiwa kwa kosa la kutemeana mate.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani