Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Ngeleja awatumia Zitto, Mengi, Manji kujitetea
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Zitto amtumia Mwalimu Nyerere
Na Bakari Kimwanga, Morogoro
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, aliugeuza Mkoa wa Morogoro kuwa wa viwanda lakini kushindwa kusimamiwa kwa sera zake na viongozi wa Serikali iliyoko madarakani kumesababisha wananchi wake kubaki maskini.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Ndege mjini hapa.
Alisema ndiyo maana ACT- Wazalendo inaamini katika misingi ya Nyerere inayoleta usawa wa...
10 years ago
TheCitizen04 Mar
Ngeleja: Yes, I took Escrow cash, but...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Zitto: Ngeleja anatapatapa
Fredy Azzah na Patricia Kimelemeta
SIKU moja baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), kumtumia Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe katika utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kiongozi huyo amesema mtuhumiwa huyo anatapatapa.
Kauli hiyo ya Zitto imekuja siku moja baada ya kutoa maelezo yake mbele ya baraza kama njia ya kujinasua kwenye kashfa ya kunufaika na mgawo wa Sh milioni 40 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
Moto Escrow wambabua Ngeleja jimboni.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ngeleja-17April2015.jpg)
Ngeleja ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-h0v1_kkXRFE/VPXWwUcbu2I/AAAAAAAAB1A/rJbVe2GSLV0/s72-c/5.jpg)
Ngeleja amlipua Zitto Kabwe Barazani
![](http://1.bp.blogspot.com/-h0v1_kkXRFE/VPXWwUcbu2I/AAAAAAAAB1A/rJbVe2GSLV0/s1600/5.jpg)
Ngeleja, amemtaja Kabwe (Mbunge wa Kigoma Kaskazini), kuwa amejipatia zaidi ya sh. milioni 30 na hakuna mamlaka, likiwemo Bunge zilizochukua hatua dhidi yake.
Aliyasema hayo jana wakati akitoa utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, ambapo alikiri kupata fedha kiasi cha sh. milioni 40 kutoka kwa Mkurugenzi wa...
10 years ago
TheCitizen30 Dec
Prosecute Chenge, Ngeleja over escrow saga: activists
10 years ago
TheCitizen05 Mar
I am open for probe, Zitto declares after Ngeleja jibe
10 years ago
Habarileo05 Mar
Zitto amjia juu Ngeleja kwa kumtaja
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na kampuni ya PAP na NSSF.