Zitto amtumia Mwalimu Nyerere
Na Bakari Kimwanga, Morogoro
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, aliugeuza Mkoa wa Morogoro kuwa wa viwanda lakini kushindwa kusimamiwa kwa sera zake na viongozi wa Serikali iliyoko madarakani kumesababisha wananchi wake kubaki maskini.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Ndege mjini hapa.
Alisema ndiyo maana ACT- Wazalendo inaamini katika misingi ya Nyerere inayoleta usawa wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...
9 years ago
GPL14 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GrumRRxu4WA/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies02 Feb
Steve Nyerere Amtumia Kajala Salamu za Pole kwa Kuugua
Leo kupitia mtandaoni, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole na kumtakia afya njema mwigizaji Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.
"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona na kuendelea na majukumu kama mama pole kajala pole masanjaaaaa pole sana" .
Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya kajala.
Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na mashabiki wote kukupa pole na kukuombea upone...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Kinara uporaji viwanja amtumia vibaya mjukuu wa Mwl. Nyerere
WAKATI Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni likiendelea kufanya uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili Paul Mushi, anayedaiwa kuwa kinara wa mtandao wa uporaji wa viwanja jijini Dar es Salaam, imebainika kuwa...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Tunakukumbuka Mwalimu Nyerere
LEO Tanzania inaadhimisha miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, aliyefarikidi dunia 14/10/1999 nchini Uingereza. Kwa namna ya pekee tunawatakia Watanzania wote maazimisho mema, lakini kubwa kuliko...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Mwalimu Nyerere hatotoweka
KADI yangu ya chama cha TANU Na.C.875903 ya 20.04.1971, tawi la Bank-NBC- Dar es Salaam, na pia kumbukumbu yangu ya kuwa mwanachama wa kikundi cha ‘Tanu Youth League’ tokea 1968...
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-U0TeGlrt9cQ/VDgOtSvnGdI/AAAAAAAGpA4/GlyehWsADGM/s72-c/273489_100002677617754_1887829474_n.jpg)
SHIWATA kumuenzi Mwalimu Nyerere
![](http://2.bp.blogspot.com/-U0TeGlrt9cQ/VDgOtSvnGdI/AAAAAAAGpA4/GlyehWsADGM/s1600/273489_100002677617754_1887829474_n.jpg)
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana kuwa katika ibada hiyo itaongozwa na Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum kwa upande wa Waislam na Padri John Solomon kwa upande wa Wakristo.
Taalib alisema katika ibada hiyo Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Silla na...