Kinara uporaji viwanja amtumia vibaya mjukuu wa Mwl. Nyerere
WAKATI Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni likiendelea kufanya uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili Paul Mushi, anayedaiwa kuwa kinara wa mtandao wa uporaji wa viwanja jijini Dar es Salaam, imebainika kuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar
11 years ago
Habarileo05 Feb
Serikali yaingilia kati uporaji kiwanja familia ya Nyerere
SIKU moja baada ya gazeti hili kutoa taarifa za uporaji wa kiwanja cha familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Serikali imeingilia kati na kuzuia ujenzi katika kiwanja hicho, uliokuwa ukiendelea kwa mabavu.
10 years ago
Mtanzania14 Apr
Zitto amtumia Mwalimu Nyerere
Na Bakari Kimwanga, Morogoro
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, aliugeuza Mkoa wa Morogoro kuwa wa viwanda lakini kushindwa kusimamiwa kwa sera zake na viongozi wa Serikali iliyoko madarakani kumesababisha wananchi wake kubaki maskini.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Ndege mjini hapa.
Alisema ndiyo maana ACT- Wazalendo inaamini katika misingi ya Nyerere inayoleta usawa wa...
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
Nyufa za Mwl. Nyerere zaibuka
NYUFA ya udini aliyohadharisha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, miaka 20 iliyopita, inanyemelea ten
Mwandishi Wetu
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Mjukuu wa Nyerere ajitosa ubunge Mara
MJUKUU wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Julia Madaraka Nyerere, ameanza kufuata nyayo za
Christopher Gamaina
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/UA-uAjVDJhk/default.jpg)
9 years ago
GPL14 Oct
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6TuNQOm4NFc/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Mwl. Nyerere angewakemea Mgimwa, Kikwete
BAADA ya kuona matokeo ya kura za wagombea ubunge katika majimbo ya Chalinze na Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), nilijikuta nikimkumbuka hayati baba wa taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Nilitamani...