Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjukuu wa Nyerere ajitosa ubunge Mara

MJUKUU wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Julia Madaraka Nyerere, ameanza kufuata nyayo za

Christopher Gamaina

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kinara uporaji viwanja amtumia vibaya mjukuu wa Mwl. Nyerere

WAKATI Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni likiendelea kufanya uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili Paul Mushi, anayedaiwa kuwa kinara wa mtandao wa uporaji wa viwanja jijini Dar es Salaam, imebainika kuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Maalim seif ajitosa urais mara tano

ESTHER MBUSSI NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR
MAKAMU wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amejitosa tena kwa mara ya tano kuchukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar.
Kutokana na hatua hiyo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kijiandae kisaikolojia kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), itakayoongozwa naye huku akisema kuwa uchaguzi wa mwaka huu ndiyo utaamua hatima yake kisiasa.
Maalim Seif ambaye pia ni Katibu wa CUF, aliyasema hayo jana mjini...

 

10 years ago

Habarileo

Kamishna wa Sensa ajitosa ubunge Kiteto

, Amina Mrisho Said KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012, Amina Mrisho Said ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara, huku akitamba kuhamasisha ujenzi wa soko la kimataifa la mazao hasa mahindi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Magige Nyerere naye ajitosa kuwania urais



NA KHADIJA MUSSA MTOTO mwingine wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Magige Nyerere, amejitokeza na kuonyesha nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Magige ni mtoto wa pili wa Mwalimu Nyerere kuonyesha nia ya kuwania uras baada ya hivi karibuni Makongoro Nyerere, kutajwa kuwa ni miongoni mwa watu wanaowania nafasi hiyo.  Mke wa Baba wa Taifa, Maria Nyerere amebariki watoto hao kuwania nafasi hiyo na kusema ni raia halali wa Tanzania na...

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisa habari ajitosa ubunge Mbinga Mashariki

Ofisa habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Humphrey Kisika (32) ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Jimbo la Mbinga Mashariki mkoani Ruvuma katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Ali Salehe ajitosa ubunge Mji Mkongwe

ally-saleh1Na Is-haka Omar, Zanzibar

MWANDISHI wa habari mkongwe, Ali Saleh Ali, ni miongoni mwa wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) waliochukua fomu za kuwania nafasi ya ubunge wa Mji Mkongwe visiwani Zanzibar. Kaimu Katibu wa jimbo hilo wa CUF, Nassor Amin Said, alisema mwandishi huyo anafanya idadi ya wanachama wane waliojitokeza hadi sasa kuchukua fomu za ubunge ambapo wawili ndio waliorejesha. Aliwataja wanachama wengine ni waliochukua fomu kuwa ni Mohamed Noor Mohamed, Badru Adam Ali na mbunge...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam. Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA WA SENSA MSTAAFU AJITOSA UBUNGE KITETO

Kamishna Mstaafu wa Sensa ya Watu na Makazi 2012, Hajjat Amina Mrisho Said (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la kiteto kwa tiketi ya CCM leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni  mmewe Bw. Alhajj Abeid Omary Khamis. Wanahabari wakichukua tukio. Hajjat Amina…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani