Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMISHNA WA SENSA MSTAAFU AJITOSA UBUNGE KITETO

Kamishna Mstaafu wa Sensa ya Watu na Makazi 2012, Hajjat Amina Mrisho Said (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la kiteto kwa tiketi ya CCM leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni  mmewe Bw. Alhajj Abeid Omary Khamis. Wanahabari wakichukua tukio. Hajjat Amina…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamishna wa Sensa ajitosa ubunge Kiteto

, Amina Mrisho Said KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012, Amina Mrisho Said ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara, huku akitamba kuhamasisha ujenzi wa soko la kimataifa la mazao hasa mahindi.

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KITETO MKOANI MANYARA

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kiteto lililoko mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kulia kwake ni mume wake Alhajj Abeid Omary Khamis. baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said wakati akitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI ASISITIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said (katikati) akizungumza na Wadadisi wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014 kwa Kanda ya kasikazini inayojumuisha mikoa ya Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara. Kulia kwake ni Opio Mamu Msimamizi wa mafunzo katika kanda hiyo na kushoto kwake ni Juma Shaban Meneja Takwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoa wa Manyara. Wadadisi wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014 kwa Kanda ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATOA SOMO KWA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI 2014 KUZINGATIA MAADILI NA WELEDI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said akizungumza na Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya Utafiti wa watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara walio katika mafunzo ya siku 16 leo mjini Morogoro. Kulia Bw. Mhidini Mtindo, Mtakwimu Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya watu wenye uwezo wa kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara wakiwa kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa ya msiba wa Kamishna Msaidizi wa Polisi mstaafu Leonard Mashaka

Kamishna Msaidizi wa Polisi mstaafu,Marehemu Leonard Mashaka enzi za uhai wake. 

Mheshimiwa Jaji Lillian Mashaka anasikitika kutangaza kifo cha Mume wake Kamishna Msaidizi wa Polisi mstaafu Leonard Mashaka kilichotokea siku ya Jumapili tarehe 23/11/2014. Msiba upo nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam(nyumba za serikali).



Mazishi yatafanyika Jumatano tarehe 26/11/2014.Ratiba itaanzia nyumbani saa 4 asubuhi na hatimaye misa takatifu katika kanisa la Mt. Martha Mikocheni, Saa 7 mchana.



Mazishi...

 

10 years ago

GPL

MAZISHI YA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA YAFANYIKA MOSHI

Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiweka jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa kwenye nyumba yake ya milele. Mazishi hayo yamefanyika jana Juni 05, 2015 katika kijiji cha Kidia, Old Moshi Mkoani Kilimanjaro. Jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa likiwa tayari limewekwa kwenye nyumba yake ya Milele.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani ajitosa kuwania urais kwa tiketi ya CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani