Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamishna wa Sensa ajitosa ubunge Kiteto

, Amina Mrisho Said KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012, Amina Mrisho Said ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara, huku akitamba kuhamasisha ujenzi wa soko la kimataifa la mazao hasa mahindi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMISHNA WA SENSA MSTAAFU AJITOSA UBUNGE KITETO

Kamishna Mstaafu wa Sensa ya Watu na Makazi 2012, Hajjat Amina Mrisho Said (kulia) akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la kiteto kwa tiketi ya CCM leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni  mmewe Bw. Alhajj Abeid Omary Khamis. Wanahabari wakichukua tukio. Hajjat Amina…

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KITETO MKOANI MANYARA

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kiteto lililoko mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kulia kwake ni mume wake Alhajj Abeid Omary Khamis. baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said wakati akitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI ASISITIZA MATUMIZI YA TAKWIMU SAHIHI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said (katikati) akizungumza na Wadadisi wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014 kwa Kanda ya kasikazini inayojumuisha mikoa ya Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara. Kulia kwake ni Opio Mamu Msimamizi wa mafunzo katika kanda hiyo na kushoto kwake ni Juma Shaban Meneja Takwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu mkoa wa Manyara. Wadadisi wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014 kwa Kanda ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA SENSA ATOA SOMO KWA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI 2014 KUZINGATIA MAADILI NA WELEDI

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said akizungumza na Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya Utafiti wa watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara walio katika mafunzo ya siku 16 leo mjini Morogoro. Kulia Bw. Mhidini Mtindo, Mtakwimu Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya watu wenye uwezo wa kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara wakiwa kwenye...

 

10 years ago

Raia Mwema

Mjukuu wa Nyerere ajitosa ubunge Mara

MJUKUU wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Julia Madaraka Nyerere, ameanza kufuata nyayo za

Christopher Gamaina

 

10 years ago

Mwananchi

Ofisa habari ajitosa ubunge Mbinga Mashariki

Ofisa habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Humphrey Kisika (32) ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Jimbo la Mbinga Mashariki mkoani Ruvuma katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani