KAMISHNA WA SENSA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KITETO MKOANI MANYARA

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kiteto lililoko mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kulia kwake ni mume wake Alhajj Abeid Omary Khamis.
baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said wakati akitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Jun
Kamishna wa Sensa ajitosa ubunge Kiteto
KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012, Amina Mrisho Said ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara, huku akitamba kuhamasisha ujenzi wa soko la kimataifa la mazao hasa mahindi.
10 years ago
Michuzi
DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPLKAMISHNA WA SENSA MSTAAFU AJITOSA UBUNGE KITETO
10 years ago
VijimamboKADA WA CCM ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo
DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.





10 years ago
Dewji Blog11 Mar
Frederick Fussi atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya Chadema
Mgombea ubunge jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo (CHADEMA), Frederick Fussi akisisitiza jambo katika mkutano wake na waandishi habari.
OFISA Mshauri wa masuala ya Uchumi, Biashara na Uongozi Frederick Fussi ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Songea Mjini kupitia Chama hicho huku akielezea vipao mbele ambavyo atavitekeleza endapo akipewa ridha kutoka kwa wananchi.
Akizungumza na waandishi wa...
10 years ago
GPL
MEYA JERRY SLAA ATEKELEZA AHADI ZKE, ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
10 years ago
Vijimambo
MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI.


10 years ago
Michuzi
MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJIN

Kwa picha zaidi BOFYA HAPA