Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akisalimiana na wakazi wa Moshi waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa.Davis Mosha akizungumza na waandishi wa habari marabaada ya mkutano wake wa kutangaza nia.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi mjini wakiwa katika uwanja wa Mashujaa katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mtangaza nia wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Davis Mosha.Mtangaza nia ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha ,akiwa na meneja kampeni wake Voctor (kushoto kwake pamoja na Goodluck Moshi.Baadhi ya makada waliofika katika uwanja huo.
Msanii wa filamu Tanzania Stephen Mengere maarufu kama Steve Nyerere alikuwa ni mmoja wa makada wa chama hicho waliofika kutoa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mfanyabiashara Davis Mosha atangaza kutogombea Ubunge jimbo la Moshi mjini

Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini,mfanyabiashara Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Penfold kwa lengo la kuwashukuru wana CCM waliompigia kura. Baadhi ya wana CCM waliohudhuria mkutano huo. Mfanyabiashara Davis Mosha akitangaza uamuzi wake wa kutojihusisha tena na siasa,uamuzi uliosababisha wanaccm kushindwa kujizuia na kuanza kuangua vilio. Baadhi ya wana CCM wakilia kwa uchungu mara baada ya Davis Mosha kutangaza...

 

10 years ago

Michuzi

Priscus Tarimo atangaza rasmi nia ya kugombea udiwani jimbo la Moshi mjini

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake wa na wakazi wa kata ya Kilimanjaro, katika Manispaa ya Moshi akieleza mambo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mtangaza nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Edmund Rutaraka akiwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,kwa ajili ya kikao na wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho wa wilaya chenye lengo la kutangaza azma yake ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo.Mwenyekiti wa Makatibu, wa CCM,Kilimanjaro Nemes Kaingirila Maufi akizungumza wakati wa kikao malumu cha kutangaza nia kilichoitishwa kwa ajili ya Naibu kamanda wa vijana wilaya ya Moshi mjini na Mjumbe wa...

 

10 years ago

Michuzi

MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJIN

Naibu Kamanda wa Vijana wa CCM Manispaa ya Moshi na mjumbe wa NEC ,Edmund Rutaraka akizungumza na wajumbe wa Halmshauri kuu  CCM ya wilaya ya Moshi mjini wakati wa kutangaza nia kugombea ubunge jimboni humo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Frederick Fussi atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya Chadema

unnamed

Mgombea ubunge jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo (CHADEMA), Frederick Fussi akisisitiza jambo katika mkutano wake na waandishi habari.

OFISA  Mshauri  wa masuala ya Uchumi, Biashara na Uongozi Frederick Fussi ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Songea Mjini kupitia Chama hicho huku akielezea vipao mbele ambavyo atavitekeleza endapo akipewa ridha kutoka kwa wananchi.

Akizungumza na waandishi wa...

 

9 years ago

Michuzi

DAVIS MOSHA AZIDI KUCHANJA MBUGA UBUNGE MOSHI MJINI, LEO NI KATA YA SOWETO

    Mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM Davis Mosha akielekea katika uwanja wa mkutano kata ya Soweto leo akiwa na walinzi wanamama. Mgombea huyu kijana na mfanyabiashara maarufu anaendelea kuchanja mbuga katika jimbo hilo na wadadisi wa mambo wanasema nyota yake ni kali sana kiasi cha kumtabiria ushindi wa kishindo. Wanasema dogo anatisha. Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza Davis Mosha akijinadi na kumwaga sera za CCM  Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza Davis Mosha...

 

9 years ago

GPL

DAVIS MOSHA: NITAIBADILISHA MOSHI MJINI

Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Davis Mosha akiongea na wananchi (hawapo pichani). Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani