DAVIS MOSHA AZIDI KUCHANJA MBUGA UBUNGE MOSHI MJINI, LEO NI KATA YA SOWETO
![](http://3.bp.blogspot.com/-d-viACrnBaY/Vf0hjCSfORI/AAAAAAAH6CY/tBR8HYuW1zw/s72-c/unnamed%2B%252811%2529.jpg)
Mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM Davis Mosha akielekea katika uwanja wa mkutano kata ya Soweto leo akiwa na walinzi wanamama. Mgombea huyu kijana na mfanyabiashara maarufu anaendelea kuchanja mbuga katika jimbo hilo na wadadisi wa mambo wanasema nyota yake ni kali sana kiasi cha kumtabiria ushindi wa kishindo. Wanasema dogo anatisha.
Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza Davis Mosha akijinadi na kumwaga sera za CCM
Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza Davis Mosha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Mfanyabiashara Davis Mosha atangaza kutogombea Ubunge jimbo la Moshi mjini
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hrC63BHVKlE/VacP0mh4wNI/AAAAAAAASSU/C6V9O_O2BhA/s72-c/E86A6393%2B%25281280x853%2529.jpg)
DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-hrC63BHVKlE/VacP0mh4wNI/AAAAAAAASSU/C6V9O_O2BhA/s640/E86A6393%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7Bk-UlaNixQ/VacP0Kt3EVI/AAAAAAAASSY/R8maUDYdgms/s640/E86A6400%2B%25281280x853%2529.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-RmR_EfTFBqc/VacPSNK4RyI/AAAAAAAASQE/Y_lPipXn9tM/s72-c/E86A6308%2B%25281280x853%2529.jpg)
DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-RmR_EfTFBqc/VacPSNK4RyI/AAAAAAAASQE/Y_lPipXn9tM/s640/E86A6308%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_oQtLeczw64/VacPResWxHI/AAAAAAAASP4/QniGOTHSib0/s640/E86A6306%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YIHnDC-KOUY/VacPRV2hIYI/AAAAAAAASP0/8OMLD_IH4Og/s640/E86A6307%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-PW04Ef-5dKg/VacPd9DxxEI/AAAAAAAASQs/AXCmvibHPZg/s640/E86A6318%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4MkSIA3hAPw/VacPdKCAJjI/AAAAAAAASQk/WrJyOp2aWhA/s640/E86A6322%2B%25281280x853%2529.jpg)
9 years ago
MichuziDAVIS MOSHA AZIDI KUWAKUNA WANANCHI WA MOSHI KWA SERA
Ikiwa zimesalia Takribani siku ishirini na tisa kuweza kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (ccm) Jimbo la Moshi Mjini Ndugu Davis Elisa Mosha amezidi kumtesa Mpinzani wake kutoka Kambi Pinzani ya Ukawa anayesimama kwa Tiketi ya Chadema Ndugu. Jafary Michael. Hayo yamedhihirika leo katika Mkutano wa Hadhara wa Mh. Davis Mosha katika...
9 years ago
GPLDAVIS MOSHA: NITAIBADILISHA MOSHI MJINI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YFtpsOEEVoA/VhYKqhAdW5I/AAAAAAAAA9w/2S2V30g7TJo/s72-c/maguu.jpg)
MAGUFULI AMUAHIDI DAVIS MOSHA KILOMETA 10 ZA BARABARA MOSHI MJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-YFtpsOEEVoA/VhYKqhAdW5I/AAAAAAAAA9w/2S2V30g7TJo/s640/maguu.jpg)
wa Moshi Mjini Mh. Davis Elisa Mosha.
Mkutano wa Kampezi za Mgombea Urais Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro umerindima jana katika Jimbo la Moshi mjini katika Viwanja vya Mashujaa na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa CCM wa Wilaya, Mkoa na Kitaifa.Mbali na Mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alikuwepo Mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm na Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndhugu Emanuel Nchimbi,...
9 years ago
MichuziDAVIS MOSHA AANZA UTEKELEZAJI WA AHADI ZAKE MOSHI MJINI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F0-3hZU_F_k/default.jpg)
9 years ago
MichuziDAVIS MOSHA AKUTANA NA WASANII WA MOSHI
Mwenyekiti wa KDFAA Ndugu Msasu.
Mgombea Ubunge wa Moshi Mjini kupitia Tiketi ya ccm Mh. Davis Mosha Amekutana na wasanii wa Filamu, Maigizo ya Jukwaani, Sarakasi na Muziki wa Mjini moshi. Wasanii hao wakiongozwa na Chama cha Wigizaji na wacheza filam Kilimanjaro (KDFAA)