Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Priscus Tarimo atangaza rasmi nia ya kugombea udiwani jimbo la Moshi mjini

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake wa na wakazi wa kata ya Kilimanjaro, katika Manispaa ya Moshi akieleza mambo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akisalimiana na wakazi wa Moshi waliofika katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa.Davis Mosha akizungumza na waandishi wa habari marabaada ya mkutano wake wa kutangaza nia.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi mjini wakiwa katika uwanja wa Mashujaa katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na mtangaza nia wa nafasi ya Ubunge wa jimbo la Moshi mjini ,Davis Mosha.Mtangaza nia ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha ,akiwa na meneja kampeni wake Voctor (kushoto kwake pamoja na Goodluck Moshi.Baadhi ya makada waliofika katika uwanja huo.
Msanii wa filamu Tanzania Stephen Mengere maarufu kama Steve Nyerere alikuwa ni mmoja wa makada wa chama hicho waliofika kutoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Priscus Tarimo ajitosa kinyang’anyiro cha ubunge jimbo la Moshi mjini

Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo akizungumza wakati wa mkutano wake na wakazi wa kata ya Kilimanjaro, katika Manispaa ya Moshi akieleza mambo mbalimbali aliyotekeleza wakati wa kipindi chake cha Udiwani na kutumia nafasi hiyo kutangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini. Baadhi ya wakazi wa kata ya Kilimanjaro wakifuatilia hotuba ya Diwani aliyemaliza muda wake wa kata ya Kilimanjaro,Priscus Tarimo wakati wa mkutano wake wa tathmni ulioenda...

 

10 years ago

Vijimambo

MFANYABIASHARA JUMA RAIBU ATANGAZA NIA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA PASUA MJINI MOSHI

Umati mkubwa wa wanachi katika kata ya Pasua wakilmsikiliza mfanyabiashara Juma Raibu (hayupo pichani wakati akitangaza nia ya kuwania nafasi ya Udiwani katika kata ya Pasua.Mfanyabiashara Juma Raibu akifutilia kwa makini wahutibiaji wa awali wakati wa mkutano wa hadhara ambao uliandaliwa kwa ajili ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Udiwani katika kata ya Pasua.
Baadhi ya wananchi waliohudhulia mkutano huo.Baadhi ya wananchama wa vyama vya upinzani waliojitokeza kurudisha fomu wakati wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mtangaza nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Edmund Rutaraka akiwasili katika ofisi za Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,kwa ajili ya kikao na wajumbe wa halmashauri kuu ya chama hicho wa wilaya chenye lengo la kutangaza azma yake ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo.Mwenyekiti wa Makatibu, wa CCM,Kilimanjaro Nemes Kaingirila Maufi akizungumza wakati wa kikao malumu cha kutangaza nia kilichoitishwa kwa ajili ya Naibu kamanda wa vijana wilaya ya Moshi mjini na Mjumbe wa...

 

10 years ago

Michuzi

MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM, EDMUND RUTARAKA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJIN

Naibu Kamanda wa Vijana wa CCM Manispaa ya Moshi na mjumbe wa NEC ,Edmund Rutaraka akizungumza na wajumbe wa Halmshauri kuu  CCM ya wilaya ya Moshi mjini wakati wa kutangaza nia kugombea ubunge jimboni humo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Frederick Fussi atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya Chadema

unnamed

Mgombea ubunge jimbo la Songea mjini kwa tiketi ya Chama cha Maendeleo (CHADEMA), Frederick Fussi akisisitiza jambo katika mkutano wake na waandishi habari.

OFISA  Mshauri  wa masuala ya Uchumi, Biashara na Uongozi Frederick Fussi ambaye pia ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Songea Mjini kupitia Chama hicho huku akielezea vipao mbele ambavyo atavitekeleza endapo akipewa ridha kutoka kwa wananchi.

Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

DOGO AJITOSA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA KORONGONI MOSHI MJINI

Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu. Angalia picha zaidi hapa chiniDogo akiwa na wanachama hichoMsafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.Hapa ni furaha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani