Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Tanzania inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa mwasisi wa taifa hilo marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Magavilla

Untitled

HAVE A REFLECTIVE NYERERE DAY! Twitter @cmagavilla

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu. Akizindua rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa...

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU NYERERE YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Kate Kamba, akizungumza na wanahabari …Akizindua maadhimisho hayo.…

 

9 years ago

Vijimambo

LEO NI MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE

Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo wa kuona mbali, hata alipopingwa baadaye waliompinga walikiri ukweli wa maono yake. 
By Pius Msekwa
Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake. Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.

Lakini yapo mambo mengine mengi ya uongozi wake ambayo...

 

9 years ago

Dewji Blog

MODEWJIBLOG na Kumbukumbu ya miaka 16 ya tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!

nyerere

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alizaliwa mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, wilaya ya Musoma, mkoa wa Mara, Tanzania (wakati ule: Tanganyika). leo  hii ni miaka 16 tangu atangulie mbele za haki huku taifa na vizazi vyake vikiendelea kumkumbuka na kuenzi utashi na  uongozi wake ulitukuka katika taifa hili la Tanzania.

Mtandao wa Modewjiblog unaungana na Watanzania wote popote pale walipo katika kuombeleza kumbukumbu hii ya Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere. Pia tunatumia...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 10 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.   Brass Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ikiongoza maandamano wakati wa mahafali hayo. Wahitimu waliofanya vizuri masomo yao wakiwa katika icha ya pamoja na meza kuu.
KWA...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KATIKA MAHAFALI YA 9 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki (kushoto), akimkabidhi cheti Muhitimu aliyefanya vizuri Shahada ya Kwanza ya Jinsia na Maendeleo, Nyamambara Simon katika Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika Dar es Salaam leo. W apili kulia ni Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo, Samwel Lunyelele na Mkuu wa Chuo, Profesa Shadrack Mwakalila.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani