Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto Escrow wambabua Ngeleja jimboni.

Kashfa ya uchotwaji fedha zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imemuweka katika wakati mgumu Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja (pichani), baada ya wananchi wa jimbo lake kumuweka kiti moto wakimtaka atoe maelezo ya kina kuhusu Sh. milioni 40 alizopewa na mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira.

Ngeleja ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATINGISHA JIMBONI KWA NGELEJA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara aliofanya katika Viwanja vya CCM, wilaya ya Sengerema mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara aliofanya katika viwanja vya Ofisi ya CCM, wilaya ya Sengerema mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani...

 

10 years ago

TheCitizen

Ngeleja: Yes, I took Escrow cash, but...

>Former Cabinet minister William Ngeleja found himself on the spot yesterday over Sh40.4 million he reportedly received from controversial Dar es Salaam businessman James Rugemalira.

 

10 years ago

Mtanzania

Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow

willium NgelejaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

TheCitizen

Prosecute Chenge, Ngeleja over escrow saga: activists

>Activists yesterday called for the arrest and prosecution of chairpersons of parliamentary committees who were implicated in the Public Accounts Committee report on the Tegeta Escrow Account scandal.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo alipokuwa akihutubia umati wa watu waliofurika kumsikiliza  katika uwanja wa CCM Wilaya ya Sengerema ambapo aliwaambia wakazi hao Chama Cha Mapinduzi kitasimamia haki na misingi kwani ndio chama pekee kinachojali watu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Ngeleja ajimaliza Escrow, Adai hajapokea mgawo peke yake, Naye kigogo Ikulu kula kibano leo.

Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, jana alipanda ‘kizimbani’ mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kujibu malalamiko dhidi yake ya kupokea zaidi ya Sh. milioni 40.4 kutoka kwa mmiliki wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira, kinyume cha sheria ya maadili na kuliomba baraza hilo kwamba, iwapo litatumia rungu lake kutoa mwongozo wa adhabu, lisianzie kwake, kwani kitendo alichokifanya hufanywa pia na wabunge wengine.

Ngeleja (47), ambaye amewahi pia...

 

10 years ago

Michuzi

DK. TIZEBA ATOA MISAADA KWA WAATHIRKA WA MOTO JIMBONI KWAKE

SAM_0783Naibu Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akipanda boti kuelekea kisiwa cha Nyamango kulikotokea ajali ya moto kwa ajili ya kukabidhi misaada.Na Daniel Makaka, SengeremaNAIBU Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Buchosa Dk Charles Tizeba ametoa msaada kwa wahanga wa ajali ya moto na nyumba zilizoezuliwa na mvua ya upepo katika kisiwa cha Nyamango kijiji cha Lushamba kata ya Bulyaheke jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Tizeba atoa misaada kwa wahanga wa moto jimboni kwake

SAM_0783

Naibu  Waziri wa Uchukuzi  ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akipanda boti kuelekea kisiwa cha Nyamango kulikotokea ajali ya moto kwa ajili ya kukabidhi misaada.

Na Daniel Makaka, Sengerema

NAIBU  Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Buchosa Dk Charles Tizeba ametoa msaada kwa wahanga wa ajali ya moto na nyumba zilizoezuliwa na mvua ya upepo katika kisiwa cha Nyamango kijiji cha Lushamba kata ya Bulyaheke jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa...

 

10 years ago

GPL

DK. TIZEBA ATOA MISAADA KWA WAHANGA WA MOTO JIMBONI KWAKE‏

Naibu Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akipanda boti kuelekea kisiwa cha Nyamango kulikotokea ajali ya moto kwa ajili ya kukabidhi misaada. Naibu Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akiwa ndani ya boti kuelekea kukabidhi misaada katika kisiwa cha Nyamango jimboni… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani