KINANA ATINGISHA JIMBONI KWA NGELEJA LEO

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara aliofanya katika Viwanja vya CCM, wilaya ya Sengerema mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara aliofanya katika viwanja vya Ofisi ya CCM, wilaya ya Sengerema mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
Moto Escrow wambabua Ngeleja jimboni.

Ngeleja ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,...
11 years ago
Michuzi09 Apr
NYANGWINE KUWASHITAKI KWA KINANA MAKADA WANAOMHUJUMU JIMBONI
VURUGU na kampeni chafu zinazofanywa na baadhi ya makada wa CCM wanaojipanga kuwania ubunge katika jimbo la Tarime, zimechukua sura mpya.
Hatua hiyo imetokana na mbunge wa jimbo hilo Nyambari Nyangwine (pichani), kuweka bayana kuwa atawasilisha malalamiko kwa uongozi wa CCM ngazi ya wilaya, mkoa na taifa.
Juzi, baadhi ya wanachama wa CCM wilayani Tarime, walilalamikia kampeni chafu zinazofanywa na baadhi makada na kusababisha makundi ambayo ni hatari kwa Chama.
Hata hivyo, baadhi...
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Kinana aanza ziara mkoa wa Mwanza, akutana uso kwa uso na mgombea Urais Ngeleja
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwafuraha na Mbunge wa Jimbo la Sengerema, ambaye pia ni mmoja wa wana CCM waliochukua fomu ya kuomba kuwania urais ndani ya chama hicho, William Ngeleja alipowasili katika Kata ya Nyamadoke, Jimbo la Buchosa,, wilayani Sengerema, kuanza ziara rasmi katika majimbo yote ya Mkoa wa Mwanza leo.
Komredi Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, ameanza ziara mkoani Mwanza, baada ya kumaliza ziara...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Dk Slaa kunguruma jimboni kwa Zitto leo
11 years ago
Michuzi15 Mar
10 years ago
Mtanzania19 Jan
Chenge, Tibaijuka, Ngeleja kikaangoni leo
Fredy Azzah na Shabani Matutu, Dar es Salaam
KAMATI Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, leo inawahoji makada wa chama hicho waliopokea mgawo wa fedha za Escrow.
Makada ambao watawekwa kikaangoni kutokana na kupokea mgawo huo, ni aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, Wiliam Ngeleja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Andrew Chenge.
Uamuzi huo...
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Mwandosya, Makongoro leo, Kamani, Ngeleja kesho
NA WAANDISHI WETU, DAR NA MIKOANI
UTANGAZAJI nia ya kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeanza kwa kishindo, huku machifu wote wa Mkoa wa Mbeya wakitarajiwa kumuunga mkono Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya, ambaye leo anatarajiwa kutangaza nia mkoani Mbeya.
Miongoni mwao ni Chifu wa Rungwe, Mbozi na Chifu wa Jiji la Mbeya, Mwashiga ambaye atawaongoza pia wazee wote wa jiji hilo.
Wakati hayo yakijiri, wakazi wa Jiji la Mbeya wakiwamo vijana, pia...