Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Slaa kunguruma jimboni kwa Zitto leo

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa leo atakuwa na ziara ya siku moja katika Jimbo la Kigoma Kaskazini ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tisa mkoani Kigoma kwa ajili ya kuimarisha chama.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATINGISHA JIMBONI KWA NGELEJA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara aliofanya katika Viwanja vya CCM, wilaya ya Sengerema mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Mwanza, leo.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara aliofanya katika viwanja vya Ofisi ya CCM, wilaya ya Sengerema mjini, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo alipokuwa akihutubia umati wa watu waliofurika kumsikiliza  katika uwanja wa CCM Wilaya ya Sengerema ambapo aliwaambia wakazi hao Chama Cha Mapinduzi kitasimamia haki na misingi kwani ndio chama pekee kinachojali watu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...

 

10 years ago

Michuzi

ZITTO KAWE ALAKIWA JIMBONI KIGOMA KISHUJAA

 Vijana wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akitoa  Ahsante kwa wananchi wa jimboni kwake kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili  Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akiwa amebebwa na  wananchi wa jimboni kwake alipokwenda...

 

10 years ago

Habarileo

Shein kunguruma leo

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinMAKAMU Mwenyeiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein atazungumza na wananchi na wanachama wa chama hicho katika mkutano utakaofanyika katika uwanja wa Demokrasia mjini hapa leo juu ya Katiba mpya Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Magufuli kunguruma Dar leo.

Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Dar es Salaam, kinatarajia kumtambulisha kwa wananchi, mgombea urais wake, Dk. John Magufuli na mgombea mwenza wake, Samia Hassan Suluhu, leo kwenye viwanja vya Mbagala Zakhiem.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba, aliwaeleza waandishi wa habari jana kuwa mkutano huo utaanza majira ya mchana.

“CCM sasa hatuna shaka na ushindi wetu, mgombea tuliyenaye ni mchapa kazi, Watanzania na wana-CCM tunamuamni,” alisema Simba.

Kuhusu...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kunguruma viwanja vya Jangwani leo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo

Tukio la mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya litawekwa hadharani kuanzia leo wakati mashahidi 50 wa upande wa Jamhuri watakapoanza kutoa ushahidi wao kwa siku tano mfululizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam inaanza kusikiliza kesi ya kikatiba ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani