Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein kunguruma leo

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinMAKAMU Mwenyeiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein atazungumza na wananchi na wanachama wa chama hicho katika mkutano utakaofanyika katika uwanja wa Demokrasia mjini hapa leo juu ya Katiba mpya Inayopendekezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Magufuli kunguruma Dar leo.

Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Dar es Salaam, kinatarajia kumtambulisha kwa wananchi, mgombea urais wake, Dk. John Magufuli na mgombea mwenza wake, Samia Hassan Suluhu, leo kwenye viwanja vya Mbagala Zakhiem.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba, aliwaeleza waandishi wa habari jana kuwa mkutano huo utaanza majira ya mchana.

“CCM sasa hatuna shaka na ushindi wetu, mgombea tuliyenaye ni mchapa kazi, Watanzania na wana-CCM tunamuamni,” alisema Simba.

Kuhusu...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa kunguruma jimboni kwa Zitto leo

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa leo atakuwa na ziara ya siku moja katika Jimbo la Kigoma Kaskazini ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tisa mkoani Kigoma kwa ajili ya kuimarisha chama.

 

9 years ago

Mwananchi

Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo

Tukio la mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa Mirerani, Erasto Msuya litawekwa hadharani kuanzia leo wakati mashahidi 50 wa upande wa Jamhuri watakapoanza kutoa ushahidi wao kwa siku tano mfululizo.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kunguruma viwanja vya Jangwani leo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.

 

10 years ago

Mwananchi

Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam inaanza kusikiliza kesi ya kikatiba ya Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dr Shein Arudisha form leo

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dr Ali Mohamed Shein leo amerudisha form ya kuogombea nafasi ya Urais kupitia CCM mbele ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ofisini kwao Bwawani Hotel. Akiongozana na viongozi mbalimbali ikiwa […]

The post Dr Shein Arudisha form leo appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AWASILI COMORO LEO

Rais Wa Zanzibar Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiaana na Balozi Comoro Nchini Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Comoro akiwa katika Ziara Ya Kiserikali akiwa amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein Na Viongozi Mbali Mbali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Comoro Mohamed Ali Soilihi wakati Wimbo wa Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wimbo Wa Muungano Wa...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AWASILI MJINI DODOMA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Dodoma Dk.Reheme Nchimbi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhi Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani