Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. SHEIN AWASILI MJINI DODOMA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Dodoma Dk.Reheme Nchimbi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhi Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AWASILI MJINI DODOMA LEO TAYARI KWA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo akihudhuria katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kinachoanza...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWASILI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya kikao cha Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es salaam, Aprili 23, 2014. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Dr. Reema Nchimba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba Mh.Samuel Sitta akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Dodoma ambapo anatarajiwa kupokea katiba mpya inayopendekezwa.(photo by Freddy Maro)

 

5 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA DK. SHEIN WATETA KABLA YA KUANZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, IKULU YA CHAMEINO MJINI DODOMA, LEO


Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kufanyika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, leo.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASILI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo , kulia ni Mwalimu Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AWASILI COMORO LEO

Rais Wa Zanzibar Na Mwenyekiti Wa Baraza La Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiaana na Balozi Comoro Nchini Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Comoro akiwa katika Ziara Ya Kiserikali akiwa amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein Na Viongozi Mbali Mbali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Comoro Mohamed Ali Soilihi wakati Wimbo wa Taifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wimbo Wa Muungano Wa...

 

10 years ago

GPL

DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA LEO

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika Uwanja wa Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba.…

 

10 years ago

Dewji Blog

JK awasili mjini Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

PG4A2427

Rais Jakaya Kikwete akialimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa Ndege wa Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM August 19, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).

PG4A2500

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete  akifungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma August 19, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali  Mohamed Shein, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani