Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT. SHEIN AWASILI MJINI DODOMA LEO TAYARI KWA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo akihudhuria katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kinachoanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA DK. SHEIN WATETA KABLA YA KUANZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, IKULU YA CHAMEINO MJINI DODOMA, LEO


Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kufanyika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, leo.

 

10 years ago

Michuzi

kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilivyoendelea mjini Dodoma leo


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa Chama baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.Wajumbe wakiwa wamesimamaukumbini kumlaki Kikwete alipoingia ukumbini kuendesha kikao hicho leoMwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM chaendelea mjini Dodoma leo

7

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanga makabrasha tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo masuala ya kujiendesha kiuchumi na mipango ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa yanajadiliwa.

 

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo aliwaeleza juu ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana Oktoba 16, 2014 katika siku ya kwanza ya kikao...

 

9 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA TAYARI KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  kwenye uwanja wa Ndege wa  muda mfupi kabla ya kuelekea Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu. Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikweteakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha  Kamati Kuu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

JK AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA


  Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu wakiwa kwenye mkutano
 MNEC wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK awasili mjini Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

PG4A2427

Rais Jakaya Kikwete akialimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa Ndege wa Dodoma kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM August 19, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).

PG4A2500

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete  akifungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma August 19, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali  Mohamed Shein, Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,...

 

10 years ago

Michuzi

JK Aongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu mjini Dodoma leo

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakipiga makofi pamoja na wajumbe wengine muda mfupi baada ya kuingia katika ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma tayari kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM leo jioni. Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed Salim, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Waziri...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI Dodoma


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Halmashauri kuu ya CCM unaofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma..
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Halmashauri kuu ya CCM unaofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma..
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wakifuata kwa kamini hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.(picha na Freddy Maro

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Jijini leo

IMGL0111

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.(PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani