Magufuli kunguruma Dar leo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-fuDjJSb17AM/VaKGMlDsU9I/AAAAAAAAwwE/vPoPLGP-CKU/s72-c/DSC_0786.jpg)
Chama Cha Mapinduzi(CCM), mkoa wa Dar es Salaam, kinatarajia kumtambulisha kwa wananchi, mgombea urais wake, Dk. John Magufuli na mgombea mwenza wake, Samia Hassan Suluhu, leo kwenye viwanja vya Mbagala Zakhiem.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba, aliwaeleza waandishi wa habari jana kuwa mkutano huo utaanza majira ya mchana.
“CCM sasa hatuna shaka na ushindi wetu, mgombea tuliyenaye ni mchapa kazi, Watanzania na wana-CCM tunamuamni,” alisema Simba.
Kuhusu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Aug
Magufuli kunguruma viwanja vya Jangwani leo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.
10 years ago
Mwananchi10 Aug
JK, Magufuli waendelea kunguruma Kusini
10 years ago
Habarileo26 Oct
Shein kunguruma leo
MAKAMU Mwenyeiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein atazungumza na wananchi na wanachama wa chama hicho katika mkutano utakaofanyika katika uwanja wa Demokrasia mjini hapa leo juu ya Katiba mpya Inayopendekezwa.
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Dk Slaa kunguruma jimboni kwa Zitto leo
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Kesi ya bilionea Msuya kuanza kunguruma leo
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Kesi Bunge la Katiba kunguruma rasmi leo
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Askofu Magike kunguruma Dar
ASKOFU Laurent Magike wa Kanisa la Living Water la jijini Mwanza, amesema anatarajia kutoa neno la Mungu kwa wakazi wa Dar es Salaam baada ya kubaini wanahitaji hilo. Magike ambaye...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Mgombea urais TLP kunguruma Dar kesho
CHAMA cha Tanzania Labour (TLP) kinatarajia kuzindua kampeni zake kitaifa kesho katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.
10 years ago
GPLMAGUFULI AITIKISA DAR LEO