Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITTO KAWE ALAKIWA JIMBONI KIGOMA KISHUJAA

 Vijana wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akitoa  Ahsante kwa wananchi wa jimboni kwake kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili  Mhe. Zitto Kabwe "Mirumbani" akiwa amebebwa na  wananchi wa jimboni kwake alipokwenda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mwili wa Mama yake Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe wasafirishwa kwenda Kigoma

MAMA1

Zitto Kabwe akiwa na Prof  Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.

mama4

Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe.

MAMA2

Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum  kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi.

MAMA3

Prof. Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa kunguruma jimboni kwa Zitto leo

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa leo atakuwa na ziara ya siku moja katika Jimbo la Kigoma Kaskazini ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tisa mkoani Kigoma kwa ajili ya kuimarisha chama.

 

10 years ago

Michuzi

ZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE ALICHOFANYA JIMBONI

Ziito Kabwe  akiwa na mume  wa Chiku Abwao na Chiku Abwao  na kada wa ACT wazalendo. Zitto kabwe  akiwa na wapambanaji Zitto kabwe  akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Iringa mjini Chiku  Abwao  akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini Mgombe  udiwani wa kata ya Mvinjeni Abuu Majeck akimpongeza mgombea  ubunge jimbo la Iri nga mjini Chiku Abwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka 10 ya Zitto Kabwe yaishia mji wa Mwandiga, awaaga rasmi wapiga kura wake jimboni

Vijana wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.(Picha zote na www.issamichuzi.blogspot.com).

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” akiwa amebebwa na  wananchi wa jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

005

 

10 years ago

Vijimambo

ZITTO APOKELEWA KWA KISHINDO KIGOMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akipokelewa na wananchi wa jimbo lake siku ya Ijumaa mara tu alipowasili jimboni hapo na kuwahutubia wapiga kura wake.

 

9 years ago

Habarileo

Zitto aahidi barabara za lami Kigoma

KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kama wananchi wakiwachagua wagombea wa ubunge katika majimbo manane wa mkoa wa Kigoma kutoka chama hicho, watahakikisha barabara kutoka mji wa Nyakanazi yenye urefu wa kilometa 340 inajengwa kwa kiwango cha lami.

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe kuibukia Kigoma kesho

Siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kumvua uanachama, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kesho atatua jimboni kwake kuzungumza na wananchi kupitia mikutano ya hadhara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani