Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 10 ya Zitto Kabwe yaishia mji wa Mwandiga, awaaga rasmi wapiga kura wake jimboni

Vijana wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.(Picha zote na www.issamichuzi.blogspot.com).

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” akiwa amebebwa na  wananchi wa jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

005

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

MBUNGE MGIMWA ATUMIA USAFIRI WA BAISKELI KUWAFIKIA WAPIGA KURA WAKE JIMBONI

MBUNGE wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa amevunja rekodi ya wabunge wa jimbo hilo na majimbo mengine ya mkoa wa Iringa na Tanzania kwa kuachana na matumizi ya magari ya kifahari na kuamua kutumia usafiri wa Baiskeli kuwatembelea wapiga kura wake.Mbunge huyo alifikia hatua hiyo leo baada ya mmoja kati ya magari yake mawilio yaliyokuwa katika msafara wake kukwama kulazimika kutumia usafiri huo wakati wa ziara yake ya siku mbili ya kuwatembelea wapiga kura wake na kupokea changamoto mbali...

 

10 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AWAHUTUBI WAKAZI WA MJI WA MPANDA


001Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 002mail.google.comMwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.003

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama chadema

Tundu Lisu atangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Zitto Kabwe chadema

 

11 years ago

Michuzi

mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli

Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali  Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda  wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa  Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda

 

9 years ago

Michuzi

ZITTO KABWE APIGA KURA YAKE KIGOMA MJINI

Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Mhe Zitto zuberi kabwe akiwa ndani ya vazi la kiha (impuzu) wakati akipiga kura yake leo Kigoma mjini katika kituo cha OTTU. Mhe. Zitto anagombea ubunge wa jimbo hilo

 

10 years ago

Africanjam.Com

ZITTO KABWE ACHUKUA RASMI FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE


Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la Kigoma Mjini.

Uamuzi huo wa kulitaka jimbo hilo unathibitisha kauli zake ambazo amekuwa akizitoa kwa muda mrefu kuwa hatarudi tena Kigoma Kaskazini kwa kuwa alishawatimizia kila kitu na haoni sababu za kuwawakilisha tena wananchi wa eneo hilo.

Kauli yake iliibua ubashiri kuwa Zitto...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James  Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo.Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

ZITTO KABWE MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JIMBO LA URAMBO

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Urambo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Wanachama wakimsikiliza kiongozi wao Mkuu.Wanachama wakimsikiliza Kionozi wao Mkuu kwa umakini mkubwa.Katibu Kata Urambo Kati, Mkulila Shabani akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya UramboMwenyeti Kata ya Kiloleni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani