Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE MGIMWA ATUMIA USAFIRI WA BAISKELI KUWAFIKIA WAPIGA KURA WAKE JIMBONI

MBUNGE wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa amevunja rekodi ya wabunge wa jimbo hilo na majimbo mengine ya mkoa wa Iringa na Tanzania kwa kuachana na matumizi ya magari ya kifahari na kuamua kutumia usafiri wa Baiskeli kuwatembelea wapiga kura wake.Mbunge huyo alifikia hatua hiyo leo baada ya mmoja kati ya magari yake mawilio yaliyokuwa katika msafara wake kukwama kulazimika kutumia usafiri huo wakati wa ziara yake ya siku mbili ya kuwatembelea wapiga kura wake na kupokea changamoto mbali...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli

Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali  Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda  wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa  Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA AKIJUMUIKA NA WAPIGA KURA WAKE KWA KUCHEZA BAO


Mbunge  wa  jimbo la kalenga Godfrey Mgimwa  kushoto akicheza  bao na mpiga  kura wake Yohanes Chotelo wa kijiji cha Kiponzero baada ya  mbunge  huyo kumaliza  ziara  yake  katika  kijiji  cha Kiponzero hivi karibuni (picha na matukiodaima.co.tz)

 

10 years ago

Dewji Blog

Nassari atumia Helikopta kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura jimboni kwake

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR. Mbunge Nassari akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara. Mbunge Joshua Nassari akiteremka kutoka katika helkopta wakati alipofika katika kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha. Baadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassari mara...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Mgimwa ashukuru wapiga kura

MBUNGE mpya wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amefanya ziara katika baadhi ya kata za jimbo hilo, kuwashukuru wananchi kwa kumchagua.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James  Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo.Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Miaka 10 ya Zitto Kabwe yaishia mji wa Mwandiga, awaaga rasmi wapiga kura wake jimboni

Vijana wa Kigoma wakiwa na bango wakimsubiri Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.(Picha zote na www.issamichuzi.blogspot.com).

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” alipokwenda jimboni huko kutoa Ahsante kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

Mhe. Zitto Kabwe “Mirumbani” akiwa amebebwa na  wananchi wa jimboni kwake alipokwenda kuwashukuru kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

005

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE NASSAR ATUMIA HELKOPTA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR.Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na wananchi katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftarai la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani