Ngeleja awatumia Zitto, Mengi, Manji kujitetea
>Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja jana alimtaja Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na baadhi ya matajiri wanaowafadhili wabunge nchini, kama sehemu ya utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Mar
Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...
10 years ago
CloudsFM29 Jun
Manji Atangaza Kuwa Atajiuzulu yanga iwapo Aliyosema Mengi yatakuwa ni Kweli

Manji amezungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga, jana na kueleza hayo huku akisisitiza kumtaka Mengi ajitokeze na wakutane kwa ajili ya kufanya mdahalo wa wazi ambao utadhibitisha kuhusiana na tuhuma hizo.
Alisema kuendelea...
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Live huyu hapa Ngeleja: Hotuba yake yajibu maswali mengi ya wananchi

Mbio za Uraisi
Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi.
Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Zitto: Ngeleja anatapatapa
Fredy Azzah na Patricia Kimelemeta
SIKU moja baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), kumtumia Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe katika utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kiongozi huyo amesema mtuhumiwa huyo anatapatapa.
Kauli hiyo ya Zitto imekuja siku moja baada ya kutoa maelezo yake mbele ya baraza kama njia ya kujinasua kwenye kashfa ya kunufaika na mgawo wa Sh milioni 40 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta...
10 years ago
Michuzi
HOTUBA YA NGELEJA KATIKA KUTANGAZA NIA YA URAIS WA TANZANIA YAJIBU MASWALI MENGI YA WANANCHI

Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya kuwa na udhaifu katika...
10 years ago
VijimamboHIKI NDICHO ALIKIELEZA MANJI NA KUTISHIA KUJIUZULU UENYEKITI YANGA SABABU YA UFISADI KAMA MENGI ATATHIBITISHA
KATIKA PITAPITA, TUMEPATA BARUA YA MWENYEKITI WA YANGA KUPITIA MTANDAO WA www.manjivsmengi.com IKIELEZA MAMBO MENGI NA MWALIKO WA MDAHALO AMBAO MANJI AMEUTOA KWA MENGI.MDAHALO HUO UNAFANYIKA IJUMAA HII NA UTARUSHWA MOJA KWA MOJA NA TBC KUANZIA SAA 12 JIONI HADI SAA 1 USIKU. SOMA BARUA HIYO.
Hisia za Bwana Mengi kwenye vyombo vya habari kuwa kampuni yangu inamiliki fedha za serikali chini ya Commodity Import Support (CIS)
Mengi ametupa lawama akizishutumu kampuni kama Farm Equip, Apollo Tires,...
10 years ago
Uhuru Newspaper
Ngeleja amlipua Zitto Kabwe Barazani

Ngeleja, amemtaja Kabwe (Mbunge wa Kigoma Kaskazini), kuwa amejipatia zaidi ya sh. milioni 30 na hakuna mamlaka, likiwemo Bunge zilizochukua hatua dhidi yake.
Aliyasema hayo jana wakati akitoa utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, ambapo alikiri kupata fedha kiasi cha sh. milioni 40 kutoka kwa Mkurugenzi wa...
10 years ago
Habarileo05 Mar
Zitto amjia juu Ngeleja kwa kumtaja
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na kampuni ya PAP na NSSF.
10 years ago
TheCitizen05 Mar
I am open for probe, Zitto declares after Ngeleja jibe