Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Live huyu hapa Ngeleja: Hotuba yake yajibu maswali mengi ya wananchi

Mbio za Uraisi

Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi.

Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA NGELEJA KATIKA KUTANGAZA NIA YA URAIS WA TANZANIA YAJIBU MASWALI MENGI YA WANANCHI

Mbunge wa Jimbo la Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja amekanusha taarifa za kukutwa na tuhuma za ufisadi uliopelekea kuvuliwa uwaziri.Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi nia ya kuwania urais, Ngeleja  amesema wananchi wengi wamekuwa wakidhani kuwa aliondolewa katika wadhifa huo kwa kutumia madaraka vibaya jambo ambalo si sahihi. 


Ameongeza utaratibu uliofanyika kumuondoa ni utaratibu wa kawaida na kuwa unaweza kutumika hata bila ya kuwa na udhaifu katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake


Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...

 

10 years ago

Mwananchi

Ngeleja awatumia Zitto, Mengi, Manji kujitetea

>Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja jana alimtaja Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na baadhi ya matajiri wanaowafadhili wabunge nchini, kama sehemu ya utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.

 

10 years ago

Michuzi

TFF YAJIBU SHUTUMA ZILIZOTOLEWA NA WAKILI NDUMBARO DHIDI YAKE

Oktoba 31 mwaka huu kupitia vyombo vya habari Wakili Damas Ndumbaro alitoa shutuma mbalimbali dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Tunapenda kuueleza umma wa Watanzania yafuatayo;
1.Hukumu dhidi ya Wakili Ndumbaro ilitolewa na chombo halali kwa mujibu wa Katiba ya TFF. Hivyo, TFF inatoa tahadhari kwa wanafamilia wa mpira wa miguu kutomhusisha Wakili Ndumbaro katika masuala ya mpira wa miguu katika kipindi hiki anachotumikia adhabu.
2.Hadi sasa TFF haijapokea rufani yoyote...

 

10 years ago

BBCSwahili

Westgate:Maswali mengi hayajapata majibu

Huku wakenya wakiadhimisha mwaka 1 tangu shambulizi la Westgate ,Maswali mengi hayajapata majibu .

 

10 years ago

BBCSwahili

Maswali ni mengi juu ya Rashid Mberesero

Wiki mbili baada shambulio la chuo kikuu Garissa,maswali bado hayana majibu kuhusu mmoja wa watuhumiwa Rashid Mberesero

 

11 years ago

Habarileo

Kinana:Tume ya Warioba haikujibu maswali mengi

RASIMU ya Katiba mpya imeendelea kuchambuliwa, ikidaiwa imeacha maswali mengi hasa katika msingi mzima wa muundo wa muungano wa serikali tatu. Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana, amesema Tume ya Marekebisho ya Katiba iliyomaliza muda wake hivi karibuni, taarifa yao katika suala la uundaji serikali, inahitaji maelezo zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba: Katiba bado ina maswali mengi

>Siku moja baada ya Bunge Maalumu la Katiba kupitisha Katiba inayopendekezwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Katiba hiyo bado ina maswali mengi kuliko majibu, hasa katika muungano na mgombea binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani