Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Temeke wakataa madarasa Chamazi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Temeke wamekataa jengo la madarasa manne la Shule ya Sekondari Chamazi kuitwa jina la Rais Jakaya Kikwete kutokana na kujengwa chini ya kiwango. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Itilima wakataa miradi

MIRADI 60 ya hifadhi mazingira iliyopo katika vijiji 8  vya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu yenye thamani ya sh bilioni moja  imekataliwa na madiwani wa wilaya hiyo. Miradi  hiyo mikubwa...

 

10 years ago

Michuzi

Makundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke.
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.


Mratibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndugu Sophia Mjema akilakiwa na Dkt. Martha Kisanga, Meneja wa Kanda ya Pwani wa Shirika la Engender Health mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Shule ya Sekondari Kibasila kwa ajili ya kufunga rasmi mafunzo ya siku 5 yaliyohusu mradi wa kuzuia mimba za utotoni katika Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke tarehe 17.4.2015. Waliosimama katikati ni Ndugu Donald Siliva, Afisa-Elimu Sekondari, Wilaya ya Temeke na Dkt. Sarah Maongezi, Mkurugenzi wa Afya kutoka...

 

9 years ago

Mwananchi

Burundi wakataa walinzi wa AU

Bujumbura, Burundi. Bunge la Burundi limepinga mpango wa Umoja wa Afrika (AU) wa kupeleka walinzi wa amani nchini humo kudhibiti machafuko yanayoendelea kutokea na raia kuuawa na wengine kukimbia nchi yao. Spika wa Bunge la Burundi, Paschal Nyabenda , alisema majadiliano hayo yalilenga kuonyesha hakuna haja ya kutuma kikosi kwa sababu hakuna mauaji ya kikabila nchini humo. Bunge hilo limethibitisha kulikuwa na mauaji tangu Aprili na Pierre Nkurunziza kutangaza kutetea urais kwa awamu ya tatu...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wakataa kubanwa

BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kucheza Chamazi

Mechi ya pili ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki Fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) katika ya Twiga Stars dhidi ya Zambia ‘Shepolopolo’ itachezwa Machi 2 mwaka huu kwenye

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi Zanzibar wakataa serikali 3

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (kushoto) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba (kutoka kushoto kwake) Freeman Mbowe, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).ASILIMIA 60 ya wananchi wa visiwani Zanzibar waliotoa maoni yao kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wametaka muundo wa Muungano wa serikali ya mkataba na hakuna hata mwananchi mmoja aliyetaka muundo wa serikali tatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi wakataa kupokea maabara

Wananchi wa Kata ya Uswaya, wilayani Igunga Mkoa wa Tabora, wamesema hawapo tayari kupokea jengo la maabara lililojengwa katika Shule ya Sekondari ya Igoweko kwa madai kuwa ipo chini ya kiwango.

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wakataa matokeo Msumbiji

Kulingana na matokeo chama tawala kimeshinda uchaguzi huo ingawa upinzani Renamo umekataa matokeo hayo ya uchaguzi uliofanyika Jumatano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani