Wananchi wakataa kupokea maabara
Wananchi wa Kata ya Uswaya, wilayani Igunga Mkoa wa Tabora, wamesema hawapo tayari kupokea jengo la maabara lililojengwa katika Shule ya Sekondari ya Igoweko kwa madai kuwa ipo chini ya kiwango.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Mar
Wananchi Zanzibar wakataa serikali 3
ASILIMIA 60 ya wananchi wa visiwani Zanzibar waliotoa maoni yao kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wametaka muundo wa Muungano wa serikali ya mkataba na hakuna hata mwananchi mmoja aliyetaka muundo wa serikali tatu.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Wananchi waandaliwe kisaikolojia kupokea matokeo-Askofu
10 years ago
Tanzania Daima18 Oct
Maabara za JK zataabisha wananchi
AGIZO la Rais Jakaya Kikwete kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini, kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara ifikapo Novemba mwaka huu, limekuwa mwiba mchungu kutokana na baadhi ya watendaji kujitwalia madaraka...
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Wananchi wagoma kuchangia maabara
NA EVA-SWEET MUSIBA,TARIME
WANANCHI wa Kata ya Matongo-Nyamongo, wilaya ya Tarime, mkoani Mara, wamekataa kuchangia fedha za ujenzi wa maabara kwa madai kuwa, fedha zao za maendeleo ya kata hazijalipwa kutoka mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara.
Akitoa taarifa katika kikao cha Baraza la Madiwani, Mtendaji wa Kata ya Matongo, Chacha Muniko, alisema wananchi wamekataa kuchangia fedha hizo kutokana na kuudai mgodi huo asilimia tano, ambayo ni sawa na sh. milioni 700.
Hata hivyo, taarifa hiyo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lPVppr44ELk/U6x_YGWJFUI/AAAAAAAFtKM/fCv7AXfu0xM/s72-c/unnamed+(6).jpg)
MAOFISA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU WAANZA KUPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA NJIA YA SIMU
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa nchini imeanza kuboresha huduma zake kwa jamii baada ya kuanzisha huduma mpya ya kupokea malalamiko ya wananchi kwa njia ya ujumbe mfupi kupitia simu za kiganjani.
Hayo yalibainishwa jana na Maofisa wa Tume hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani mjini Tabora ambao ulilenga kutambulisha na kuhamasisha matumizi ya huduma hiyo kwa wananchi na wadau mbalimbali wenye malalamiko yoyote au...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QuyplVTgcgM/VAmEDdOoYFI/AAAAAAAGenY/hzcdXLFO5AY/s72-c/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA-TUME%2BOPERESHENI%2BTOKOMEZA.jpeg)
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Kuna tofauti ya maabara na majengo ya maabara
10 years ago
Habarileo20 Aug
Wabunge wakataa kubanwa
BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Burundi wakataa walinzi wa AU