Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wagoma kuchangia maabara


NA EVA-SWEET MUSIBA,TARIME
WANANCHI wa Kata ya Matongo-Nyamongo, wilaya ya Tarime, mkoani Mara, wamekataa kuchangia fedha za ujenzi wa maabara  kwa madai kuwa, fedha zao za maendeleo ya kata hazijalipwa kutoka mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara.
Akitoa taarifa katika kikao cha Baraza la Madiwani, Mtendaji wa Kata ya Matongo, Chacha Muniko, alisema wananchi wamekataa kuchangia fedha hizo kutokana na kuudai mgodi huo asilimia tano, ambayo ni sawa na sh. milioni 700.
Hata hivyo, taarifa hiyo...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Polisi wagoma kuchangia mafuta kusafirisha mwili wa mwenzao

Na Ahmed Makongo, Bunda
POLISI wilayani Bunda, mkoani Mara, wanadaiwa kugoma kuchangia fedha za mafuta kwa ajili ya kusafirisha mwili wa askari mwenzao, Koplo Mahamudu Magasa, aliyefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria kwa muda mfupi.
Mafuta hayo yalikuwa yanatakiwa kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Koplo Mahamudu kwenda nyumbani kwako, Wilaya ya Mahenge, mkoani Morogoro.
MTANZANIA jana ilifika Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Bunda na kukuta umati mkubwa wa askari...

 

10 years ago

Michuzi

LAPF YATOA MSAADA KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE-WILAYA YA ULANGA MASHARIKI.

 Meneja wa Kanda ya Mashariki ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yesaya Mwakifulefule  akikabidhi  msaada wa vifaa vya ujenzi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mashahriki Bi. Christina Mndeme kwa ajili ya ukarabati wa maabara za shule katika wilaya hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mashahriki Bi. Christina Mndeme akizungumza jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya   Meneja wa Kanda ya Mashariki ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yesaya Mwakifulefule  kukabidhi  msaada wa vifaa vya...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi wagoma kupanda mabasi

KITUO Kikuu cha Mabasi mjini Mpanda, mkoani Katavi kilikumbwa na tafrani jana baada ya abiria kugoma kusafiri na mabasi mawili baada ya kubaini matairi yake yamechakaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Kaliua wagoma kuhamia Katavi

UONGOZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, mkoani Tabora na wananchi wa kata mbalimbali wilayani humo wamesisitiza kupinga mpango wa wilaya hiyo kutaka kuhamishiwa Mkoa mpya wa Katavi. Wamesema mpango...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maabara za JK zataabisha wananchi

AGIZO la Rais Jakaya Kikwete kwa Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini, kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara ifikapo Novemba mwaka huu, limekuwa mwiba mchungu kutokana na baadhi ya watendaji kujitwalia madaraka...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAOMBWA KUCHANGIA DAMU

MPANGO Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) unatoa rai kwa wananchi wote wenye sifa za kuchangia damu wajitokeze kuchangia damu katika vituo vya Damu salama hasa kipindi cha mwezi Novemba mpaka Januari mwakani , kipindi ambacho wanafunzi wa sekondari wanakuwa likizo hivyo kusababisha kuongezeka kwa uhaba wa damu nchini.
Hayo yalisemwa leo na Afisa Habari wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania Bw. Rajab Mwenda (pichani) katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ilala...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wahimizwa kuchangia damu

WANANCHI wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari, ili taifa liweze kuwa na akiba ya kutosha na lifikie malengo ya maendeleo ya milenia. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi wakataa kupokea maabara

Wananchi wa Kata ya Uswaya, wilayani Igunga Mkoa wa Tabora, wamesema hawapo tayari kupokea jengo la maabara lililojengwa katika Shule ya Sekondari ya Igoweko kwa madai kuwa ipo chini ya kiwango.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI MKURANGA WAASWA KUCHANGIA DAMU

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema (kulia) akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga Dkt. Anwar Milulu (kushoto) msaada wa mashuka 90 yaliyotolewa na chuo hicho kusaidia wagonjwa katika hospitali hiyo.Makabidhiano hayo yalifanyika jana wilayani Mkuranga kama sehemu ya Chuo hicho kuadhimisha miaka 50 toka kianzishwe mwaka 1965.Baadhi ya Wauguzi na wahudumu wa afya wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga wakiangalia moja ya shuka kati ya mashuka 90...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani